Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Weka akiba ya maneno , Usije na matokeo mfukoni
 
Usiku wa deni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jiandaeni kisaikolojia,
Monday night
 
Hawa Barcelona wana matatizo makubwa sana ona walivyokua wanamsukuma sokoni Coutinho kama vile walimchukua bure sasa tena Surez katimuliwa kwa kupigiwa simu hahitajiki tena..

Hii kwangu inatoa picha kwa akina Mane na Salah nk kufahamu sio kila timu watakutana na ma hug ya nguvu ya Klopp huku ofisi yake ikiwa wazi kuwasikiliza mpaka changamoto zao nje wa uwanja..

Hakika Liverpool ya sasa wachezaji wanakua treated with respect hata kama mchango wao ni hafifu uwanjani lakini hujisikia na sehemu ya ushindi kama vile Lovren, Lallana nk...


Barcelona na Real Madrid wamejaa viburi vya aina yake wakishakutumia vyema kwao huna tena faida ama mchezaji akaingia kwa kukosa kiwango hawana muda wa kusubiri..


Poor Surez lol angalau kapata AT all the best kwake..

YNWA
 
Suarez kumbe wamefukuza
 
Suarez kumbe wamefukuza
Yaani kwa kupigiwa simu design kama ileee ya Conte na Costa akiwa Chelsea...

Barcelona kuna tatizo unakumbuka alivyoodoka Figo, Eto, Gaucho, Zlatan nk yaani lazima kuwe na figisu fulani lol

Tazama Coutinho walimtaka wenyewe mpaka dogo alijilipia kiasi cha pesa ili ule uhamisho ukamilike lakini lol kumtumia vyema walichemka wenyewe wakaanza kumuona kituko mpaka sasa Koeman ndio anakomaa nae aone kama anaweza kuamsha upya..

Kwa kweli hata kama mchezaji hayupo kwenye mipango basi kuwe na ustaarabu na Surez kawatumikia miaka 5 vile kwa mafanikio makubwa... Messi kakinukisha kaponda sana namna ambavyo hili suala limeshughulikiwa na klabu...

I love football we ain't perfect but we aint in that Barca shits...

YNWA
 
Huyu Alcantara tumpe Muda Atafloap tu.
Umeona kazi ya Kai?
 
Nilikuwa napita tu kutoa pongezi japo tunajua nyie ni timu bora lakini kuifunga Chelsea mulitumia nguvu nyingi sana hadi kusababisha red kadi..tukipata muunganiko unaofaa tutaleta shida sana apo EPL.

#CFCπŸ’™πŸ’™πŸ’™
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Chelsea ni timu ya bibi na babu na baba na mama pia. Nawezaje kuwa fan wa liverpool aise...Nimefuta ile ban yangu naendelea na mikakati yangu ya kuhakikisha tunabeba EPL.
#CFC πŸ’™πŸ’™πŸ’™
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…