Salimia wakubwa kwanza, naona umeshindwa uvumilivu umejileta mwenyeweHongereni sana kwa kuifunga Chelsea. Mumejitahidi kwa kweli, haikuwa kazi ya kitoto hadi ikabidi Refa hawape nafasi nzuri ili mshinde baada red card.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Ahdi yako unaikumbuka?Hongereni sana kwa kuifunga Chelsea. Mumejitahidi kwa kweli, haikuwa kazi ya kitoto hadi ikabidi Refa hawape nafasi nzuri ili mshinde baada red card.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Jamaaa katoroka chumbaniSalimia wakubwa kwanza, naona umeshindwa uvumilivu umejileta mwenyewe
Hongereni sana kwa kuifunga Chelsea. Mumejitahidi kwa kweli, haikuwa kazi ya kitoto hadi ikabidi Refa hawape nafasi nzuri ili mshinde baada red card.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Hahahahahahahahahaha umerudi tena we mzaramo wa kibada! Hahahahhahaa.Hongereni sana kwa kuifunga Chelsea. Mumejitahidi kwa kweli, haikuwa kazi ya kitoto hadi ikabidi Refa hawape nafasi nzuri ili mshinde baada red card.
#CFC πππ
Hongereni sana kwa kuifunga Chelsea. Mumejitahidi kwa kweli, haikuwa kazi ya kitoto hadi ikabidi Refa hawape nafasi nzuri ili mshinde baada red card.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Nimefurahi kumuona Big Shaq aisee.Shaqiri.............. [emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590]
Mkuu Ziroseventytwo hahaha huyu Ollachuga Oc ni Mzaramu wa Kaskazini kwa vimaneno hajamboπππππππ...Hahahahahahahahahaha umerudi tena we mzaramo wa kibada! Hahahahhahaa.
Nilichogundua kwako bwana mdogo. Una mahaba sana na majogoo kuliko kule darajani.
Usajili msimu huu wa majira ya joto unafungwa tarehe 5 mwezi ujao. Njoo ujisajili hapa jukwaani. Andika barua kwenda kwa Mbu na uhakikishe hawa wafuatao wanapata copy. King Ngwaba Malafyale mbabe Captain Marvelous MosDef , Ladder 49 zumbemkuu @ na wengine wote.
Ongea hoja mzee, we ni mtu mzima ila hoja huna unakimbilia kumuattack mtu tu, mtu asipokuwa mshabiki wa tim ndo akili yake inakuwa sawa ila we japo ni mshabiki akili yako imelemaa,Huyu anayejiita Watery ni wazi kuwa Kichwa chake kimejaa Water/Maji badala ya Akili.
Cha ajabu mpaka leo ukimuuliza ni mshabiki wa Timu gani hasemi anajifanya yeye Si Mshabiki wa Mpira na hana Timu.
Lakini haondoki Vibanda Umiza kufatilia Games za Liverpool na kuleta uchambuzi wa Vituko.
Usijali mkuu, Adebayor yuko freeUshindi na Usajili ni Kitu kitamu kweli Yani! Nimelalamikia usajili kwa Misimu miwili mfululizo lakini usajili wa ALCANTARA mmoja tu na Ushindi dhidi ya Chelsea pekee umenifanya Nijipige Ban ya Muda kuhusu kulalamikia usajili.
Sasa kilio kitabakia kwa Striker tu.