Tuliyaongea Jana, kepa Ni glory kwetuI like this attitude
Deep down you know the reality
Chelsea hamko strong kabisa and there will never be a day zouma can be a good defender
And you Kepa/Kipa isour biggest glory
mtu yoyote anaejua mpira vzr hawezi kuponda performance ya werner leo, kaperform vzr sana kuliko yoyote chelseaUnamzungumzia werner yupi
Huyu huyu wa leo anayeshindwa hata tap in???
Wapo hapa Liverpool FEKI kibao,wao kuishangilia team ni pale inapo fanya vyema tuHahahah mwanafyale huwa unanifurahisha sana hiyo code eti Liverpool halisi😆
Ni kweli, but we need to maintain positivitySingle game per time
Sasa tunaigeukia mechi ijayo na Arsenal
Itakua meci ngumu sana kwetu lkn sisi tuna Mungu
Liverpool HALISI tushangilie team na tukubali kwa lolote litakalo tokea Jumatatu ijayo
Mungu ibariki Liverpool
Hii misemo yako sijawahi kuielewa kabisa ndg yanguSingle game per time
Sasa tunaigeukia mechi ijayo na Arsenal
Itakua meci ngumu sana kwetu lkn sisi tuna Mungu
Liverpool HALISI tushangilie team na tukubali kwa lolote litakalo tokea Jumatatu ijayo
Mungu ibariki Liverpool
Arsenal hajawahi kuwa mpinzani halisi wa liverpool pale liverpool inapokuwa inahitaji ushindi na kuhitajii alama 3, mechi ijayo tutashinda 4+Single game per time
Sasa tunaigeukia mechi ijayo na Arsenal
Itakua meci ngumu sana kwetu lkn sisi tuna Mungu
Liverpool HALISI tushangilie team na tukubali kwa lolote litakalo tokea Jumatatu ijayo
Mungu ibariki Liverpool
Kweli kabisa, jamaa kauli zake zinanipa mashaka makubwa sanaHapa tulikuwa na Mapenzi na Undugu kama Wanafamilia wa Liverpool na sio Washabiki. Lakini alipikuja yule anayejimilikisha Timu tu na kuona kama ni Urithi wa Familia yake basi kauli zisizo za kiuelewa zimeibuka.
Kweli kabisa, jamaa kauli zake zinanipa mashaka makubwa sana
Mtaje tuHapa tulikuwa na Mapenzi na Undugu kama Wanafamilia wa Liverpool na sio Washabiki. Lakini alipikuja yule anayejimilikisha Timu tu na kuona kama ni Urithi wa Familia yake basi kauli zisizo za kiuelewa zimeibuka.
Hata Arsenal wana MunguSingle game per time
Sasa tunaigeukia mechi ijayo na Arsenal
Itakua meci ngumu sana kwetu lkn sisi tuna Mungu
Liverpool HALISI tushangilie team na tukubali kwa lolote litakalo tokea Jumatatu ijayo
Mungu ibariki Liverpool