Jota is a Klopp type of player but for 35M? a big question mark.Liverpool are closing in on a £35m deal for Wolves forward Diogo Jota that could be completed as early as Saturday.
Jota ana miaka 23 hivyo imekaa vyema mno kwetu..
YNWA
Haya ndo. Mambo ya Klopp huku mnataka wengine Yeye Ana chukua mwingineJota is a Klopp type of player but for 35M? a big question mark.
i reckon this saga will linger on for quite some spell - likely to go right down to the wire, i could be wrong though!
Unajua werner alisema nini baada ya game ya Brighton?Hakufunga lakini unaona kazi aliyofanya? Kuna beki ya kumzuia Werner apo Liverpool?
age yake na release clause yake hutopata tabuJota is a Klopp type of player but for 35M? a big question mark.
i reckon this saga will linger on for quite some spell - likely to go right down to the wire, i could be wrong though!
Hili nimelisema jana humu kuwa tunahitaji mtu wa kumchallenge Firmino... jamaa kama kachoka halafu kama majukumu yamemzidiaLiverpool are closing in on a £35m deal for Wolves forward Diogo Jota that could be completed as early as Saturday.
Jota ana miaka 23 hivyo imekaa vyema mno kwetu..
YNWA
make weight swap ya Hoever inaweza kusaidia pia kupunguza direct cash outlay.Angalia ag
age yake na release clause yake hutopata tabu
Wote tunapenda mpangilio uwe hivyo lakini klopp kocha kiburi akipanga hivyo basi hazitapungua mechi 3 katika msimu wote.
Wote tunapenda mpangilio uwe hivyo lakini klopp kocha kiburi akipanga hivyo basi hazitapungua mechi 3 katika msimu wote.


. Kisa hendoKabisa...!Klopp namkubali haendeshwi na mihemko ya mashabiki/pundet huwa anafanya yale ambayo kwake yanamfaa na kumpa matokeo
Kuna mchizi Instagram kauliza "who stole John Henry's credit card?




Hahahahahahahahah Mashabiki tulikuwa tunataka timu ifanye usajili tuwe na Squad depth yenye Quality ya kutosha Hiyo mihemko unayosema wewe ni ipi??Klopp namkubali haendeshwi na mihemko ya mashabiki/pundet huwa anafanya yale ambayo kwake yanamfaa na kumpa matokeo
Klop hana tabia ya kuharakisha waagen gemuni, coz anajua wazi akiflop mwanzon itamchukua mda kucop with all media talks, that man knows how the world worksLabda hii Jumapili anaweza asicheze ila inayofuata gemu dhidi ya Gunners nyumbani yumoo..
YNWA
Siyo Habari za kutisha sana mkuu. Ivyo hazina impakti yeyote hasa kwa timu kama Chelsea..Hiv hizi habar za Thiago na Jota
Nyumbu wanazo???
You sound scared as shitSiyo Habari za kutisha sana mkuu. Ivyo hazina impakti yeyote hasa kwa timu kama Chelsea..
Alisema amekuja kubeba makombe. Mimi niko hapa kutangaza msiba mapema kabisa asubuhi tunapeleka mtu kitanzini..Unajua werner alisema nini baada ya game ya Brighton?
Zouma anaelekea kwenye peak wakati vvd ndo kafika, wewe pale arsenal bila Auba kuna chochote mnaweza kufanya?Una kelele wakati huko nyuma beki unaye mtegemea Zouma,mtu mwenyewe una roho nyepesi huchelewi kujipiga ban JF ukifungwa.