Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bizness strategy
IMG_20200919_173537.jpg
 
Mkuu, naõna umepata nguvu,

Hongereni sana, kwa kumpata huyu fundi mpiga vibao mpìra, najua tutapata tabu ila na burudani pia tutaipata
Napênda anavyotema kushoto na kufukia kulia, NYIE..

Welcome fundi Thiago
Uyu Thiago tuna uhakika epl lazima itamshinda. Uku siyo Bundesliga watoto wa leeds watamtoa udenda..

Kama huamini subiri kesho akipangwa.
 
45 kwa jota mmepigwa !!! Namuona minamino mwingine tu hapa, anaenda kukaa bench !!!!

Mtu alikuwa Hana namba kwenye kikosi cha nuno, liva mnashangilia kumpata ? Takwimu zake Ni za kawaida Sana, pengine umri wake bado (23), ana uwezo wa kudevelop zaidi ! Anaenda kumweka Nan bench pale ????? Huyu Ni back up player tu !!!

Mnashangilia eti 45 inalipwa kwa instalment, yes hata kama lakini si mtailipa ?? Hata ingelipwa ndani ya 20 yrs!!

Mngesajili walau mtu anaeingia kwenye kikosi direct Kama THiago !!! Wacha tusubiri ,,, jota sio mtu anaeweza kuwapa 20 goals na walau 8 assists per season !!

Thiago mmelamba dume, hapo shida Ni injury tu! Hawez cheza mechi Saba mfululizo , ila akiwa fit anakiwasha haswa !!
 
kwanza bei ni 40 plus 5 adds on......... pili hata Mane alikua anaingia na kutoka 1st 11 ya soton.............

subiri huyu nae anaenda kuwa moto hatari,
 
Salah 28yrs

Mane 28yrs

Firmino 28yrs...

Jota 23 yrs

Takumi 25yrs

Ni muhimu sana kua na mipango huku tukitazama future...

Ile kazi inayofanywa na Edwards na Ian Graham sio ya kitoto ni data na research ya uhakika...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom