Kamugy T
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,110
- 1,226
FSG wagumu balaa Kilichobaki ni kuwa wavumilivu na kuendelea kuipa support timu yetu matumaini yangu we will do just fine this season. No need to panic. YNWA
Mechi moja tu naona vijana mnalalama Sana.
Mkubaliane na hali ya sell and buy ya hawa matajiri maana ndio itaifanya miaka 100.klabu isije filisika kama kipindi kile bado kidogo tushushwe daraja.
Uzuri ni kuwa tuna wachezaji wa kupata pesa. Sio kama klabu nyingine. Ndo maana wanawekeza snaa kwa vijana ambao utaweza kuwauza baadae.
Matokeo ya Leeds wala hayanipi hofu mama wengine.
Gomez huyu huyu alicheza mechi KIBAO na vvd na kuruhusu magoli machache Leo mnamuona hafai. Eti na vvd mnasema nawazinguaserious?? Huyu aliyeibadili kabisa Liverpool mnataka mumkatae Leo.
Kwa firminho ni a mechoka mwili tu na wala sio Kwamba hana form vizuri. Klopp anatakiwa ampe off ya hata mechi 3 bench amuweke minamino au origi.
Wengine eti thiago angekuwepo Leeds wasingepata magoli. Hata huko Germany Kuna timu zinaivurugaga bayern na thiago akiwepo.
Yaliyotokea ni makosa ya kimpira na kocha atayafanyia kazi. Walete Chelsea tujipigie Lampard alielie tena. YNWA
Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app

