Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kumbuka walicheza na Brighton ambayo imezoea mikiki ya ligi na sisi tumecheza na Leeds ambao ndio wamepanda ligi kuu na wametutoa makamasi
Mkuu Leeds ni bingwa wa Championship sio ligi nyepesi ki hivyo na pia wana moja wa kocha ambae ni very influential kwa wachezaji wake in modern coaching methods...

Ukiona mpaka Pep na Pochettino wakisema kocha Marcelo ni thier idol ndio ujue sio wa kuwachukulia powa Leeds ki vile...

All in all we won ugly and as far as 3 points zipo kwetu am at peace...

We aint the force we were last 3 seasons hivyo sitegemei tushinde kirahisi.. We will have to sweat and get the results the hard way..

Defence need to be settled.. Gomez/VVD has become big time leaky mpaka viti vinakua vya motooo... Klopp should have Matip partner VVD vs the Blues...

YNWA
 
Na Kwa kuwa ni Klopp Gomez utamuona tena uwanjani.
 
Na Kwa kuwa ni Klopp Gomez utamuona tena uwanjani.
Yaani Gomez na VVD kuna shinda imekua vice versa hii combo yao...

We were positive kwamba they rock for many years ila sasa ni kama vile wamechoka kwa pamoja..

Klopp mwenyewe amepigwa na butwaa kinachofanyika in real game haha am a 💯 % hakutegemea haya anayoyaona kwa hawa top top cbs... He has to find a way to bring back that compactness they had especially last season 1st round...

With Lovren gone the only senior CB available ni Matip and on his day when on song he can perform wonders... Advantage ya Matip he do push the team forward and also good in the air hivyo he bring something different....

Haha ila kama ulivyosema Klopp huyoo na Gomez but you never know man...

YNWA
 
Hawa wa marekani ndo wametuletea Klopp wamgeweza kumleta hata rednapp.
Hawa wa marekani wametupa karibu kila kombe ndani ya 4 years. Tulieni wale ndo mabosi na ndo wanajua nini wa nafanya. Inabidi mkubali tu kuwa Klopp Ana first 11 yake na hawezi kubadili hata aje nani. Na ndo maana haangaiki na mchezaji mwingine unless auze kama sera ya wadosi inavyosema.
Man City mwaka jana kasajili lakini akaishia na capital Cup.
Man u amesajili kishenzi tangu fergie aondoke lakini patupu.
Klopp anasjili kwa mpango na mahitaji yake. Tusimpigie kelele.
Tulieni angalieni soka tamu makosa yatakuwepo na yatarekebishwa.
Next Chelsea then arsenal tupige hawa watoto wa London then tusonge mbele.

Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
Ni kweli wametuletea Klop, lakini ukiangalia mafanikio 90% yaliyopatikana ni u genius wa klop, ndio maana jamaa hawa chini ya Rogers namba 7 ilikua ni halali yetu kwa uwekezaji wao, tofauti na City ambao hata chini ya Pellegrin tuu wamebeba EPL ssbabu ya uwekezaji,

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu naweza onekana kichekesho ila nina tatizo la kutosikia. Mnaweza nipa matamshi ya jina la kocha wenu.

Jurgen Klopp

Me nalitamka Jajen Kilopu😂
 
Nyie game moja muliyocheza anfield recently mlikula ngapi?
Salah tunamkabidhi kwa James mbeleko la two penalties hatopata tena. Jumla ya game mbili mlizocheza anfield mumeruhusu magoli sita. Huu ni udhaifu mkubwa sana. Mbele ya Zouma Bob Firmino sioni atatokea wapi..

Karibu Darajani
 
1.Pierre-Emerick Aubameyang - £350k-a-week

2. Mesut Ozil - £350k-a-week

3. David De Gea - £350k-a-week

4. De Bruyne - £320k-a-week

5. Havertz - £310k-a-week

6. Raheem Sterling - £300k-a-week

7. Paul Pogba - £290k-a-week

8. Anthony Martial - £250k-a-week

9. Sergio Aguero - £230k-a-week

10. Willian - £220k-a-week

👆👆👆EPL Best paid players.

Mane, Salah, VVVD should be aiming this slot..

YNWA
 
Salah tunamkabidhi kwa James mbeleko la two penalties hatopata tena. Jumla ya game mbili mlizocheza anfield mumeruhusu magoli sita. Huu ni udhaifu mkubwa sana. Mbele ya Zouma Bob Firmino sioni atatokea wapi..

Karibu Darajani
Ya zouma nae unamuona beki kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom