Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sawasawa na nilikuwa naimani siku moja hiyo ya Gini JK atamchezesha kama unavyosema hapo
Kweli ila yote hayo yangerekebishwa kama tungekuwa na benchi lenye wachezaji wa uhakikabwa kubadili matokeo .
Tuendelee kupambana labda tutaendelea kushinda kwa zali hivyo hivyo mpaka msimu uishe .
Bora Jana tumeshinda maana tusingeamka leo mi Manure ingetutesa kwa presha za mtaani.
Presha kubwa tutaendelea kuimiliki aisee..
Next game against Chelsea (A).
Lampard ana uchu na sisi, mpaka unatamani game zingehairishwa kwanza , tutapigana tu tushaingia vitani ngoja tuendeleze imani.
#inklopwetrust
#YNWA
Hakuna game tunaenda kushinda kwa ulaini kama game ijayo na Chelsea yaani kila mtu atashangaa
 
Most likely he fail to tweak the system as he lack the squad depths for such change to bring immediate impact and Klopp is no magician he will go and stick for what has won him more trophies and that 4 3 3....

Fergie even after winning the title he used to add his squad and bring in hungrier players to supplement his squad that why he was winner oftenly...

YNWA
you got a point there, boss.
 
Hakuna game tunaenda kushinda kwa ulaini kama game ijayo na Chelsea yaani kila mtu atashangaa
Yes inawezakana pia maana football ndio ilivyo
FB_IMG_15999733429321478.jpg
 
Sawasawa na nilikuwa naimani siku moja hiyo ya Gini JK atamchezesha kama unavyosema hapo
Kweli ila yote hayo yangerekebishwa kama tungekuwa na benchi lenye wachezaji wa uhakikabwa kubadili matokeo .
Tuendelee kupambana labda tutaendelea kushinda kwa zali hivyo hivyo mpaka msimu uishe .
Bora Jana tumeshinda maana tusingeamka leo mi Manure ingetutesa kwa presha za mtaani.
Presha kubwa tutaendelea kuimiliki aisee..
Next game against Chelsea (A).
Lampard ana uchu na sisi, mpaka unatamani game zingehairishwa kwanza , tutapigana tu tushaingia vitani ngoja tuendeleze imani.
#inklopwetrust
#YNWA
Gini akiwa timu ya Taifa hucheze nyuma ya washambuliaji na ukitazama goli ratio yake ni kali sana... Hilo pekee linamfanya Koeman ajaribu kumpeleka kule Catalan..

Sijawai kua na doubt na 4 3 3 ikiwa kila mchezaji anafuata maelezo ya kocha to the letter tumeshinda gemu nyingi sana kuliko tulizopoteza na imetupa makombe ya nguvu haswaa, ishu inaanza pale timu pinzani sasa wameshajua hawa ni wazee wa highline defence hivyo kuna namna ya kuwaumiza yalitukuta vs Watford vs AT nk na ukitazama utaona magoli mawili ya jana ilikua ni long pass huku wachezaji wetu wakiwa almost nusu uwanja matokeo yake tukafungwo..

Kupata zile pointi 3 jana hata Klopp atakua kapumua aisee...

Lampard hahaha huyu atafia uwanjani kashasema we are damb arrogant kwa kushinda EPL hivyo ana jambo na sisi..

Itakua full cracker..

Bring em..

YNWA
 
you got a point there, boss.
Patience is damn rare virtue as Klopp said if he finds "right player" for the right price he will buy🤔🤔🤔....

My only zigzag is of all the afromentioned players we have been gossiped about there ain't any decent one valuable to join us Hahaha Klopp nae kwa maneno hajambooo... Ebu atuletee 1CB, 1 MF wizard, 1proper striker.

YNWA
 
Najiuliza kama angefungwa Andrian humu dah

Sidhani kama Alison jana alifanya kosa lolote lililosababisha goli labda niwe nimeangalia game tofauti.

Adrian halumiwi kwasababu ya jina lake bali analaumiwa kwasababu ya uzembe wake uliokithiri! Ukweli ni kwamba Adrian ni kipa wa Daraja la pili, hata Championship hadesrve kucheza.
Itazame backup ya Arsenal aliyekaa kipa kwenye game ya ngao ndiyo utajua kama FSG linapokuja suala la Kitonga hata Kindoki watamchukua.
 
Sidhani kama Alison jana alifanya kosa lolote lililosababisha goli labda niwe nimeangalia game tofauti.

Adrian halumiwi kwasababu ya jina lake bali analaumiwa kwasababu ya uzembe wake uliokithiri! Ukweli ni kwamba Alison ni kipa wa Daraja la pili, hata Championship hadesrve kucheza.
Itazame backup ya Arsenal aliyekaa kipa kwenye game ya ngao ndiyo utajua kama FSG linapokuja suala la Kitonga hata Kindoki watamchukua.
Allison hadeserve Kucheza championship are you serious ??

Au umekosea kutype

Mkulima wa mahindi
 
Sidhani kama Alison jana alifanya kosa lolote lililosababisha goli labda niwe nimeangalia game tofauti.

Adrian halumiwi kwasababu ya jina lake bali analaumiwa kwasababu ya uzembe wake uliokithiri! Ukweli ni kwamba Alison ni kipa wa Daraja la pili, hata Championship hadesrve kucheza.
Itazame backup ya Arsenal aliyekaa kipa kwenye game ya ngao ndiyo utajua kama FSG linapokuja suala la Kitonga hata Kindoki watamchukua.
Uwezo huonekana pale mambo yanapokua magumu beki zimekatika na yeye kakatika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom