Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Allison hadeserve Kucheza championship are you serious ??
Au umekosea kutype
Mkulima wa mahindi
Dah! Ni error hiyo nilimaanisha Adrian 🙌🙌
Allison hadeserve Kucheza championship are you serious ??
Au umekosea kutype
Mkulima wa mahindi
Uwezo huonekana pale mambo yanapokua magumu beki zimekatika na yeye kakatika
Wanangu nini maana ya FSG
Wanangu nini maana ya FSG
Hahaaa huyo siku zote ni scape goatNajiuliza kama angefungwa Andrian humu dah
Fenway Sports GroupWanangu nini maana ya FSG
Another kid wa ngapi huyu wa nne ama dirisha hili... Aafu wakishakomaa nafasi hawapewi wanaodoka bure ama kwa ela kiduchu.. Suso, Camacho, Chirvela, binamu wa Steve nkLiverpool are on the cusp of signing young Brazilian goalkeeper Marcelo Pitaluga (left)
around initial fee is £700,000. Medical this week. Club had been tracking him since last November. Alisson involved in assessing his qualities and gave him a ringing endorsementView attachment 1568843
Hahaha hawa FSG walikosea njia kuja kuwekeza UK na hio method yao ya US..Liverpool are still in the market for a couple more signings. Another senior centre-back and a wide attacker are the two main priorities.
A lot will depend in the amount of cash they can generate from sales 💴
Source: James Pearce
Hiyo aya ya mwisho ndiyo point muhimu ya kushika.
Football spending giants


serious?? Huyu aliyeibadili kabisa Liverpool mnataka mumkatae Leo.Nakuhakikishia hapa hatuna timu ya kumfunga Chelsea, na tukicheza kama tulivyocheza na Leeds kama walevi wa Gongo tunakufa si chini ya Goli 3 mpaka 4.Mechi moja tu naona vijana mnalalama Sana.
Mkubaliane na hali ya sell and buy ya hawa matajiri maana ndio itaifanya miaka 100.klabu isije filisika kama kipindi kile bado kidogo tushushwe daraja.
Uzuri ni kuwa tuna wachezaji wa kupata pesa. Sio kama klabu nyingine. Ndo maana wanawekeza snaa kwa vijana ambao utaweza kuwauza baadae.
Matokeo ya Leeds wala hayanipi hofu mama wengine.
Gomez huyu huyu alicheza mechi KIBAO na vvd na kuruhusu magoli machache Leo mnamuona hafai. Eti na vvd mnasema nawazinguaserious?? Huyu aliyeibadili kabisa Liverpool mnataka mumkatae Leo.
Kwa firminho ni a mechoka mwili tu na wala sio Kwamba hana form vizuri. Klopp anatakiwa ampe off ya hata mechi 3 bench amuweke minamino au origi.
Wengine eti thiago angekuwepo Leeds wasingepata magoli. Hata huko Germany Kuna timu zinaivurugaga bayern na thiago akiwepo.
Yaliyotokea ni makosa ya kimpira na kocha atayafanyia kazi. Walete Chelsea tujipigie Lampard alielie tena. YNWA
Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
Hv wale leeds uliwazoom fresh kweli???Nakuhakikishia hapa hatuna timu ya kumfunga Chelsea, na tukicheza kama tulivyocheza na Leeds kama walevi wa Gongo tunakufa si chini ya Goli 3 mpaka 4.
Aiseeeee naona unawaza kinyume chakeNakuhakikishia hapa hatuna timu ya kumfunga Chelsea, na tukicheza kama tulivyocheza na Leeds kama walevi wa Gongo tunakufa si chini ya Goli 3 mpaka 4.