Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Msimu huu tutapata sana presha kama mambo ndio hivi...Hendo kurud na kurudi kaanza dah noma sema muhimu point 3 ..tuidraw tu maana tutatiana presha mapema dah
#YNWA
YNWA
Msimu huu tutapata sana presha kama mambo ndio hivi...Hendo kurud na kurudi kaanza dah noma sema muhimu point 3 ..tuidraw tu maana tutatiana presha mapema dah
#YNWA
Hahahah Ndo imeanza hivyo hakunaBkuwa na uhakika na point 3 ..tujiandae kisaikolojia tu...sijui game za FA ,UCL na Carabao zikianza tutakuajeMsimu huu tutapata sana presha kama mambo ndio hivi...
YNWA

VAR si ipo?Kwa kweli hii penati tumezawadiwa ,huyu refa anaonekana huwa anatupenda sana.
Chupuchupu ndugu hali tete sana msimu huu...salaam kops wote.
First half 3-2. Wachezaji wetu ni wale wale ila timu sio ile ya msimu ulioisha. Kuna shida kweye backline yetu. Kuna kutokuelewa kwingi haswa wale wa kati. VvD na Gomez.
Kukosekana kwa Fabby ndio chanzo cha kupoteana kwa beki zetu.
So far tunaongoza. Klopp aangalie haya mapungufu na yafanyiwe kazi.
Salah bado ni moto mkali. Bobby leo hayupo vizuri.
Acha visingizio braza...Mechi za Leeds na Liverpool ndo zilivyo
Mi naona Liverpool na Leeds Kama vile tunacheza Championship vile ..![]()



usimfananishe ndemla na huyo bishooBoby ni yuleyule sawa na Molinga tu hamna kitu.
Mane leo ni kama Saidi Ndemla tu
Kwa vile tupo tayari kwa matokeo matatu tutakua powa tu ndugu yangu hatuna namna...Hahahah Ndo imeanza hivyo hakunaBkuwa na uhakika na point 3 ..tujiandae kisaikolojia tu...sijui game za FA ,UCL na Carabao zikianza tutakuaje
Tuishi kiimani
#YNWA
Mwaka huuu nao wenu jiagalien
Gomez hapana yule maana anasababisha VvD aonekane anachujaKwa vile tupo tayari kwa matokeo matatu tutakua powa tu ndugu yangu hatuna namna...
Salah leo ukiacha ubinafsi fulani naona dalili powa kama vile msimu huu atakua moto..
Firmino huyu anatakiwa awe super sub atulie kwanza benchi shinda ni pale hatuna namba 9 wa uhakika na hapo usjili unatakiwa..
VVD sijui ni mimi naona ni kama vile kila gemu anazidi kupwaya..
TAA na Robbo hawa leo haikua siku yao klosi zao zile tamu tamu hatujaziona..
Keita amekua mzito mno ajiangalie hizi nafasi za starter haziji kila gemu kwa Klopp..
Hendo ni yule yule wa siku zote...
Gini alitakiwa atoke na goli na ni kama vile akicheza nyuma ya washambuliaji panamfaa sana tatizo mfumo wa Klopp haumruhusu...
Mane leo walishamjua huyu ni tishio hawajafanya makosa kwenda nae sawa..
Gomez ajitazame kama ile form ya Matip enzi zile basi aanze Matip...
Allison lol naona golden glovesaisahaua..
YNWA
Huu ndo mwaka tunalamba treble. You heard here firstMwaka huuu nao wenu jiagalien