Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Wewe hujui mpira, umekaa huko Mabwepande unamponda kocha aliyetupa UEFA na EPL.
Nani hayaogopi majogoo?
😁😁
Wewe hujui mpira, umekaa huko Mabwepande unamponda kocha aliyetupa UEFA na EPL.
Nani hayaogopi majogoo?
Umemsahau na Alpine Messi kwenye prone to injuries ....Kikosi kizima Cha Liverpool (Senior Squad) msimu wa 2020/21 kina Wachezaji 19 tu.
Makipa:
Alisson
Adrian
Mabeki:
TAA
Gomez
Matip
VVD
Robbo
Tsimikas
Midos:
Hendo
Gini
Keita
Milner
Ox
Fabinho
Washambuliaji:
Salah
Mane
Bobby
Minamino
Original
Wachezaji ambao Msaada wao ni Mdogo kabisa (Prone injuries):
Matip
Keita
OX
Wachezaji ambao Msaada wao ni wa kubahatisha:
Origi
Milner
Adrian
Wachezaji ambao bado hawajawa proved viwango vyao:
Tsimikas
Minamino
Mpaka hapa ukweli ni kwamba tuna wachezaji 11 tu ambao ni Proved kwa kuwatumia msimu mzima wa 2020/21
1) Alison
2) TAA
3) GOMEZ
4) VVD
5) ROBBO
6) FABINHO
7) HENDERSON
8) GINI
9) SALAH
10) MANE
11) BOBBY
Yah! Klopp is not Fan wa Big squad, hence Lampard, OGS and Pep are stupids.
Usajili wa liverpool msimu huu niMatokeo kama hayo ndio kabisa hawasajili
YNWA
Umemsahau na Alpine Messi kwenye prone to injuries ....
Swali ambalo sijaona majibu yake kutoka kwa wenye timu ni je covid imetuadhiri sisi zaidi ya wengine ama walikua wanatafuta sababu ya kutotumia ela....
Tazama Everton ambao hawana ela ya UCL, EPL winner na kadhalika wanavyowekeza huku sisi tukiaminishwa hatuna uwezo wa kununua mpaka tuuze..
YNWA
Matokeo kama hayo ndio kabisa hawasajili
YNWA
hapo imeisha hiyoUsajili wa liverpool msimu huu ni
1.Jones
2.Minamino
3.Tsimikas
Naona ongezeko moja tu mpaka kufikia October.
Na kuna vitoto majina hata kukumbuka shinda vimesajiliwa vipo vitatu...Usajili wa liverpool msimu huu ni
1.Jones
2.Minamino
3.Tsimikas
Naona ongezeko moja tu mpaka kufikia October.
Ni aibu kubwa sana eti tumemshindwa Timo kwa sababu ya Covid yaani huu ni usanii kabisaaaa hawa jamaa wanajali zaidi ela inayoingia kwao kuliko kuboresha kikosi...Kwa Hili FSG wamefanikiwa sana kuwabrain wash baadhi ya Mashabiki.
Wewe umetupatia
Binafsi sioni haja ya kufanya usajili mkubwa zaidi ya kuongeza mchezaji mmoja ( Striker) ama wawili. Ukiangalia vizuri timu, karibu kila idara imekamilika. Beki wapo wa kutosha, viungo wapo wa kutosha na bora. Kimsingi mashabiki wa Liverpool tuondoe hofu na timu, bado tupo katika nafasi nzuri ya kuchukua ubingwa. T
Mkuu bado uko Tanga?
Man Utd wameshaingilia biashara ya Alcantara according to rumours
Kwa bangi za pale Liverpool hii dili tunaweza kuwa tushaliwa hivyo kama ni kweli bei ya euro 30 million tunalia kuwa ni kubwa
Kuna yule mchezaji MF wa Lyon bwana mipango Houssem Aouar ki ukweli huyu ndio wangemkomalia wasije sema ooh Thiago hajafit kwenye umri wa project yetu...japo Arsenal walikua wanamkomalia huyu Houssem but naona Dani karudi kwao kwa mkopo tena..Man Utd wameshaingilia biashara ya Alcantara according to rumours
Kwa bangi za pale Liverpool hii dili tunaweza kuwa tushaliwa hivyo kama ni kweli bei ya euro 30 million tunalia kuwa ni kubwa


fgs wajanja Sana !