Unafikiri kutajataja hayo ma DTV kila wakati na kuita watu washamba,ndio tutakuona unajua?lete takwimu kutoka 1955-2005,usikurupuke soma kwanza uelewe kisha tafakari ndio utoe jibu,usiendeshwe na mihemko!huwezi kufit kila eneo ,halafu usiwe unakakamaza sana fuvu katika mambo madogomadogo.Hawa watoto washamba aisee
Wakati Kevin Keegan anamsajili asprilla
Hadi siku Ile wanacheza game of the season na Liverpool haya mambo yalikuwa Dtv ..
Dtv walikuwa na vipindi vingi vya uchambuzi wa epl Kwa Kiswahili Hadi DK leakey anachambua..
Mtu akija kujitokeza kushangilia Newcastle leo
Watakuja kusema timu ilikuwa haina mashabiki
Kabla ya 2020..
Duh we jamaa wewe mbona unashindwa kuelewa mambo madogo madogo sana?Chelsea iondoe katika hiyo list..
Mimi nawajua watanzania wengi Sana mashabiki wa Chelsea kabla hawajawa mabingwa..kumbuka Mimi ni Liverpool fan.
Nikupe historia kidogo Ruud Gullit wakati anakuwa kocha Chelsea akishinda Hadi best dressed manager au sportsman sikumbuki vizuri..Nina ndugu wengi mno mashabiki wa Chelsea... Newcastle Hadi Middlesbrough..
Nimekuwa nikitaja Dtv kukueleza hali ilivyokuwa zamani ..mashabiki wanapiga hadi simu studio kuongea na wachambuzi kuhusu mpira na timu zao...
Point kubwa ni kuwa your reality may not be the reality... unaweza fikiri mwaka 2005 wakati we unaanza kushabikia mpira ndo kila mtu kaanza mwaka huo..wakati sio ukweli
Binafsi hapa jukwaa hili naweza kukaa hata miaka miwili sichangii kitu haimaanishi nikianza leo kuchangia basi nimeanza kufatilia mpira leo..
Toka enzi za John Barnes tunashabikia Liverpool
Kila kitu ni process mdogo wangu. Vunja timu au bakisha timu nzima, mtu mwenye experience anajua lolote laweza tokea.Inahitajika Nivunje Timu halafu uwepo peke yako kwa miaka 100 mbele ndiyo uweze kunipita.
Okay okayNa hili ndilo jibu mkuu,sawa kabisa...membership card ndio inatoa jibu LA kweli na sio social media
Kila kitu ni process mdogo wangu. Vunja timu bakisha mtu mzima mwenye experience anajua lolote laweza tokea.
Unahitaji ukue kifikra zaidi.
Huyu jamaa amekuwa kama yule tajiri msomi,
Haelewi kuwa kila sehemu na lugha zake, ni wa kupuuza tu.
Messi anafosi aondoke bure. Liverpool tukijikaza mishahara tutamlipa vzr tu
Hizo battle's zenu nazifuatilia hahahaaa... Maana kila mmoja wenu hapo anajiona father. Cha kuchekesha zaidi kila mmoja wenu ana utemi wa aina flani za threads, mada na uchangiaji wake. The Boss kwenye siasa namuona yupo upstairs sana, wewe kwenye football upo vizuri sana King Ngwaba, tena na hivi mmebeba EPL ndiyo hatusemi. Twende kaziShida yote ni kwamba tulibishana kwenye Uzi wa issue za Simba na Yanga Kuhusu uwekezaji wa 20B za Dewj, basi jamaa kaamua kaamua kuniwekea Bifu mpaka huku.
Watu wengine ukiwachellenge basi inakuwa Ugomvi usiokwisha kwao hawajui kama huu ni mpira tu.
Sikutegemea Mtu kama yeye anaweza kuwa na Visasi kiasi hichi kwasababu tu nilimbishia kuhusu kumwita Dewj ni Tapeli.
Haya bhana! Yote maisha haya.
Hii battle niliifuatilia halafu jamaa hoja zake kitukoShida yote ni kwamba tulibishana kwenye Uzi wa issue za Simba na Yanga Kuhusu uwekezaji wa 20B za Dewj, basi jamaa kaamua kaamua kuniwekea Bifu mpaka huku.
Watu wengine ukiwachellenge basi inakuwa Ugomvi usiokwisha kwao hawajui kama huu ni mpira tu.
Sikutegemea Mtu kama yeye anaweza kuwa na Visasi kiasi hichi kwasababu tu nilimbishia kuhusu kumwita Dewj ni Tapeli.
Haya bhana! Yote maisha haya.
Uyu dogo King Ngwaba anaulimbukeni fulaniKila kitu ni process mdogo wangu. Vunja timu bakisha mtu mzima mwenye experience anajua lolote laweza tokea.
Unahitaji ukue kifikra zaidi.
Uyu dogo King Ngwaba anaulimbukeni fulani
Hahahahaha kuwa mpole bana.Mimi umri wangu ni sawa na Mshua wako Kijana! Wewe endelea kuniita Dogo.
TOT+CHELSEA=ARSENALHehee.. kumbe alikua mkubwa lakini kwa sasa si mkubwa tena. Unadhani wakati nampita Everton alijisikiaje? Lakini kwakua nishampita hana namna amekubali. Chuki uliyonayo kwangu nahisi ndio aliyokuwa nayo Everton kwa wakati huo.
Unahofu naweza kukukuta na kukuacha ndio hofu aliyonayo Arsenal kwa sasa ndio maana wanachuki na Chelsea na siyo muda wataanza kuwachukia Tot.
Tukae humu ..kesho kutwa iyo, kumbukizi muhimu.
Kinacho angaliwa ni currently unafanya nini? Record ipo ili ivunjwe sasa wewe endelea kukaza kaza na porojo zako.
[emoji23][emoji23] kazakaza kijanaWewe wakushindana nae kwa sasahivi ni Kakayangu Everton, Mimi mdogo Liverpool mdogo wake Everton sio Class yako kabisa.
Kinacho angaliwa ni currently unafanya nini? Record ipo ili ivunjwe sasa wewe endelea kukaza kaza na porojo zako.View attachment 1548803
[emoji23][emoji23] kazakaza kijana
Kinacho angaliwa ni currently unafanya nini? Record ipo ili ivunjwe sasa wewe endelea kukaza kaza na porojo zako.View attachment 1548803