Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haya ni mawazo yako eti nawewe uheshimiwe!! Haya sawa endelea kuchangia hoja zakoHujamuelewa Ngwaba na Hujanielewa Mimi pia ndio maana umekuja na spidi kubwa sana,ukweli in kwamba hata Norwich INA washabiki Ila wachache sana kucompare na timu kama Liverpool,Arsenal na Manchester united na ukweli usiopingika mashabiki wengi was Chelsea na Man city ni MAPLASTIKI NA WASAKA USHINDI.
Tumeshakula 2/0Injinia soma hiyooo
Halafu kuna mbuzi wanapiga kelele kuhusu huu utopolo
Piga mbuzi haoooo..
Mkuu game yapigwa muda huu au? Na tunacheza na nani
Huyu dogo kismati cha magoli anacho
Fsg ni owner wa Boston Red Sox..
Toka waliponunua Boston Red Sox wamechukua ubingwa mara kadhaa na timu haijashuka value...
Liverpool iko very safe na fsg
Tunataka strongly signingAna miaka 16, nafasi anayocheza ni kiungo mshambuliaji.View attachment 1548015