Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unaweza ukawa vizuri sana katika masuala mbalimbali,lakini huwezi kuwa vizuri kwa kiwango kilekile katika maeneo yote,lazima kuna eneo utakuwa vizuri zaidi na eneo lingine ukawa wastani na kwingine ukawa boya tu,

Ushauri wangu: Acha kabisa kuzungumzia soka,hulijui utajiaibisha....bora uwe mpenzi msomaji....
Kwahiyo hapo kwa kipindi cha dtv na ITV Chelsea ilikuwa na mafanikio gani?
 

Attachments

  • Screenshot_2020-08-25-14-10-28.png
    24.1 KB · Views: 13
Nimemjibu specifically kuhusu Chelsea kuwa na mashabiki kabla ya 2005..

Huwezi sema Chelsea ilikuwa haina mashabiki kisa hawakuwahi kuwa mabingwa
Nimemjibu na wewe nakujibu
Hapa Tanzania Chelsea walikuwa na mashabiki miaka mingi kabla ya 2005..na ushahidi nimeweka...

Wala huwezi sema eti Liverpool ilikuwa Sawa na Bolton
Liverpool haijawahi kuwa Sawa na Bolton..
 
Hadi mitaani kuna team mpaka Leo zimeiga jina la Newcastle,
Sema ni kweli Chelsea ilikuwa na mashabiki lakini sio wengi kama walivyoibuka kwa wingi mwaka 2005 kipindi cha Special one, King Ngwaba yupo sahihi.
 
Uliwahi kushuhudia Chelsea au Liverpool ikichukua ubingwa wa EPL kupitia DTV?

Jibu langu lilihusu hizi timu kutokuwa na mashabiki kabla ya 2005..
Je ni kweli Chelsea Hana mashabiki Tz kabla ya 2005?

Nimekupa mfano Chelsea ya Zola na flo ilikuwa na mashabiki na walikosa ubinga kidogo sana
 
Jibu langu lilihusu hizi timu kutokuwa na mashabiki kabla ya 2005..
Je ni kweli Chelsea Hana mashabiki Tz kabla ya 2005?

Nimekupa mfano Chelsea ya Zola na flo ilikuwa na mashabiki na walikosa ubinga kidogo sana

Okay, itakuwa either sikukuelewa wewe au King Ngwaba.
 
Hadi mitaani kuna team mpaka Leo zimeiga jina la Newcastle

Hawa watoto washamba aisee
Wakati Kevin Keegan anamsajili asprilla
Hadi siku Ile wanacheza game of the season na Liverpool haya mambo yalikuwa Dtv ..
Dtv walikuwa na vipindi vingi vya uchambuzi wa epl Kwa Kiswahili Hadi DK leakey anachambua..

Mtu akija kujitokeza kushangilia Newcastle leo
Watakuja kusema timu ilikuwa haina mashabiki
Kabla ya 2020..
 


Unafikiri mimi huwa nazungumza kitu kupata sifa humu?We huoni naweza anzisha mada bila kujali Nani atakasirika?

Wewe huna cha kunishauri .mkiongea uongo
Lazima tuongee ukweli tuweke rekodi sahihi..

Ukweli hata Notigham forest ina mashabiki Tz
We unajua kwanini Dr Dau ni mshabiki wa Sunderland na Kikwete mshabiki wa Newcastle?..

Hivi unakujaje humu kusema Chelsea ilikuwa haina mashabiki kabla ya 2005 na tunyamaze?

Kwa hiyo timu ikiwa haina makombe ndo haina mashabiki?Mimi nna ndugu zangu mashabiki wa Depotivo la Coruna..unaijua??..

Nyinyi kama mmeanza fuatilia mpira mwaka 2005 endeleeni mlipokuta msizungumze with
Authority vitu ambavyo hamvijui..
 
Jibu langu lilihusu hizi timu kutokuwa na mashabiki kabla ya 2005..
Je ni kweli Chelsea Hana mashabiki Tz kabla ya 2005?

Nimekupa mfano Chelsea ya Zola na flo ilikuwa na mashabiki na walikosa ubinga kidogo sana
Hakuna timu ambayo haina mashabiki duniani mkuu,hao Leicester tu wana mashabiki lakini tunachokisema kuwa sio wengi kiasi kufananisha na timu kubwa,samahani Ila sasa nimekuelewa,ulikuja wanguwangu baada ya kuona Ngwaba kaigusa Liverpool yako hahahahahaha tupo kuwekana sawa tu
 
Hujamuelewa Ngwaba na Hujanielewa Mimi pia ndio maana umekuja na spidi kubwa sana,ukweli in kwamba hata Norwich INA washabiki Ila wachache sana kucompare na timu kama Liverpool,Arsenal na Manchester united na ukweli usiopingika mashabiki wengi was Chelsea na Man city ni MAPLASTIKI NA WASAKA USHINDI.
 

Yeye kasema kabla ya 2005 na Liverpool ilikuwa kama Bolton..

Ndo maana nikamjibu
Chelsea ya Zola na Flo ilikuwa hatari sana.
Newcastle ya Keegan walikuwa title contenders..

Hizi timu zilipata mashabiki sababu watu
Walizifuatilia na kutazama mechi zao kila wiki
Mfano mzuri Middlesbrough ya Ravaneli na juninho...ilikuwa na mashabiki wengi mno Tz..

Hata kama ubingwa walikosa huwezi sema
Hazikuwa na mashabiki...

Kigezo cha kuitaja Dtv ni kuonesha watu wengi walitazama mechi zao..free to air TV Kwa kila mtu but English football Tanzania ina mashabiki hata kabla ya Dtv
Wapo waliokuwa na satellite dish wengi pia mjini na walikuwa mashabiki...

Yaani asije mtu kesho kusema ni mshabiki wa Middlesbrough ..mtu akaanza kumponda.kuwa ni plastic fan..ndio my main point
 

Chelsea iondoe katika hiyo list..
Mimi nawajua watanzania wengi Sana mashabiki wa Chelsea kabla hawajawa mabingwa..kumbuka Mimi ni Liverpool fan.

Nikupe historia kidogo Ruud Gullit wakati anakuwa kocha Chelsea akishinda Hadi best dressed manager au sportsman sikumbuki vizuri..Nina ndugu wengi mno mashabiki wa Chelsea... Newcastle Hadi Middlesbrough..

Nimekuwa nikitaja Dtv kukueleza hali ilivyokuwa zamani ..mashabiki wanapiga hadi simu studio kuongea na wachambuzi kuhusu mpira na timu zao...

Point kubwa ni kuwa your reality may not be the reality... unaweza fikiri mwaka 2005 wakati we unaanza kushabikia mpira ndo kila mtu kaanza mwaka huo..wakati sio ukweli

Binafsi hapa jukwaa hili naweza kukaa hata miaka miwili sichangii kitu haimaanishi nikianza leo kuchangia basi nimeanza kufatilia mpira leo..

Toka enzi za John Barnes tunashabikia Liverpool
 
Jibu langu lilihusu hizi timu kutokuwa na mashabiki kabla ya 2005..
Je ni kweli Chelsea Hana mashabiki Tz kabla ya 2005?

Nimekupa mfano Chelsea ya Zola na flo ilikuwa na mashabiki na walikosa ubinga kidogo sana
Achananao hao timu inapopata mafanikio lazima fans waongezeke. Ndo maana hapa jukwaani kuna mishabiki mingi imeongezeka ..kipindi kile liverpool ina haso hakukuwa na fans apa jukwaani. Walikuwa wapi??

Sisi Chelsea tupo nayo, ipande ishuke ..tupo nayo
 
Sisi tuko Chelsea toka enzi za akina Nell Clement, David Lee, Celestine Babayaro, midifida mama Gustavo Poyet forward matata kama Mark Hughes , Gianfranco Zola, na wengineo wengi ...halafu mbuzi mmoja anajitokeza na kuleta ujuaji hapa..

#CFC timu ya baba, timu ya mama, timu ya bibi..

[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Hehee.. kumbe alikua mkubwa lakini kwa sasa si mkubwa tena. Unadhani wakati nampita Everton alijisikiaje? Lakini kwakua nishampita hana namna amekubali. Chuki uliyonayo kwangu nahisi ndio aliyokuwa nayo Everton kwa wakati huo.

Unahofu naweza kukukuta na kukuacha ndio hofu aliyonayo Arsenal kwa sasa ndio maana wanachuki na Chelsea na siyo muda wataanza kuwachukia Tot.
 
Mkuu huyo ni mtoto kaanza kufatilia juz juz lakini wanakaririshana kwakua ni Liver fan basi eti ameanza kufatilia kitambo.
 
Mkuu siyo kwamba hawajui. Wanajua ila wanataka kutu challenge na wao wanakaza vichwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…