Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nimekuja kuwahimiza ili mpaze sauti ili timu yenu iache kusajili michezaji ya uchochoroni kama utopolo

Wachezaji gani hao wataje,msimu uliopita ndio mmeongoza kwa kutumia hela nyingi kwenye usajiri lakini msimu umeisha mmeshindwa kuchukua kombe hata moja.

Vipi magwaya kesi yake imeisha huko?
 
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aliyeelewa kaelewa[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]

Mimi na mods wenzangu tuna mpango wa kubadilisha ule uzi wa Chelsea uwe makutano ya watu wanaojiingizia kipato kwa njia ya betting, maana hamna mashabiki pale, [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]


[emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837]COYG[emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837]
 
Acha kufoka[emoji350][emoji2788][emoji2788] unarusha mate,


Hakuna timu pale
 
Acha kufoka[emoji350][emoji2788][emoji2788] unarusha mate,


Hakuna timu pale

Tena wale Madogo wanavituko kweli! Kuna mmoja Jana tulikuwanaye Kijiwe anajifanya kutoa historian ya Babayaro alipokuwa Chelsea.
Nikamwambia nitajie matukio mawili muhimu aliyoyafanya kwenye mechi ambayo Chelsea iliitwanga Manure Goli 5 kwa Nunge, Jamaa kaganda kwani anaogopa kusema kitu huku hana uhakika kama Babayaro alicheza au hakucheza ile.
Nikamwambia basi nitajie Babayaro alikuwa akivaa Jezi namba ngapi? Eboooo hamna Kitu.
Nikamuuliza Frank Leboeuf alikuwa anacheza Timu gani na namba ngapi? Kimya.
Nikamuuliza Wafaransa wangapi kutoka Chelsea walikuwa wakicheza Timu ya Taifa ya Ufaransa World Cup 1998? Kimya.

Nikamwambia Dogo tunaposema Chelsea imeanzishwa mwaka 2005 na ndiyo mwaka iliyoanza kupata Washabiki na Nyinyi ndiyo mulipojiunga Muwe munatuelewa.
 

Mimi nilipendekeza toka Juzi uwe ni Uzi wa Manure
 
Msaada kidogo! Naanda Dokezo hapa la kwenda Tanga, Ivi kutoka Dar to Tanga kwa Basi nauli shilingi ngapi kwa anayejuwa?
 
Basi ukajiona kichwaa mwenyewe? Haya maswali tulikua tunaulizana primary leo hii jibaba linauliza maswali ambayo hata mtoto mdogo anaweza kuyameza google.

Mnataka kutuaminisha kujua mambo hayo ndio kujua mpira. History ipo google yawezekana hata wewe umegoogle.

Hapo usijesema nimekufokea. Naheshimu nafasi zenu ila tusiweke vigezo katika kuheshimiana ukizidiwa hoja kausha.
 
Wachezaji gani hao wataje,msimu uliopita ndio mmeongoza kwa kutumia hela nyingi kwenye usajiri lakini msimu umeisha mmeshindwa kuchukua kombe hata moja.

Vipi magwaya kesi yake imeisha huko?
Niambie ndani ya miaka miwili hii mchezaji gani wa maana mmesajili
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…