Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,585
- 2,666
Kuna wengine wanakuwa na ushabiki maandazi kila kitu anasifia tu sasa haitakiwi hivoKwa hiyo ukipingwa mtu anakua mtu wa tenis?
Kuna wengine wanakuwa na ushabiki maandazi kila kitu anasifia tu sasa haitakiwi hivoKwa hiyo ukipingwa mtu anakua mtu wa tenis?
Mkuu acha ushabiki utoto huwez fananisha liver na man u! Hv unajielewa kwel unaitwa mna world class players umewah hata kuchez mashindano ya mpira ligi za wilayan.. inaonesha mpira wako ni ule wa vibandaniFabinho hamkaribii Bruno hata robo nyie wenyewe mnalijua hilo
Bruno anamzidi nan assist pale liver?Hao wote uliowataja unganusha assist zao hawamkaribii Bruno hata robo
Jamaa kumbe unamahaba na hii tea ushauli mzuri.Hii timu mkitaka msipotee basi fanyeni yafuatayo:
1.uza firmino chukua striker wa maana achana na huyu mtu kashapoteza targets za goli
2. Tafuta mbadala wa origi hakuna mtu humu mchezaji wa timu ndogo
3. acheni kusajili wachezaji wa mchangani kama minamino na shaqir punguzeni ubahili chukueni wachezaji wa maana
4.mtemeni chamberlain mapema ikibidi uza kabla ajapata pancha nyingine
5.tafuteni kiungo mbunifu hata mmoja dizaini ya pogba au bruno
Team yako ni IPI bossHii timu mkitaka msipotee basi fanyeni yafuatayo:
1.uza firmino chukua striker wa maana achana na huyu mtu kashapoteza targets za goli
2. Tafuta mbadala wa origi hakuna mtu humu mchezaji wa timu ndogo
3. acheni kusajili wachezaji wa mchangani kama minamino na shaqir punguzeni ubahili chukueni wachezaji wa maana
4.mtemeni chamberlain mapema ikibidi uza kabla ajapata pancha nyingine
5.tafuteni kiungo mbunifu hata mmoja dizaini ya pogba au bruno
Mkuu hamna team inayokosa magalasa mana huuwezi lipa mshahala sawa kwa wachezaji wote kweli Origi hafai nafasi yake unaziba na nani?Kuna watu wanadai eti kwa kuwa aliifunga FCB basi aendelee kuwepo na kuenziwa
Anaperform mechi moja tu nyingine zote chali mchezaji wa aina hiyo simtaki mimi nataka aina ya Stevie G alichokifanya 2005 aliendelea kukifanya mpaka anastaafu
Amesahau ndo alikua fowadi yetu mpaka tukafika fainal ya europ tumesahau alipata wastan wa kila mechi goli kabla hajaumia.Mkuu una hakika na unachokisema!!?hivi unaweza kusema origi mchango wake Ni kuifunga FCB tu!!?Kama hujui mchango wa origi kwa Liverpool napata Shaka na ufuatiliaji wako kwa LFC...itoshe kusema tukipata mchezaji mwenye uwezo zaidi ya origi atasaidia sababu origi sio kila wakati anakuwa vizur Kama back up sahihi Ila mchango wa origi ktk mafanikio ya misimu miwili ya lFC sio kitu cha kubeza hata kidogo...BINAFSI HATA AKIBAKI ORIGI SINA SHIDA.
Mbele inahitajika aongezwe mshambuliaji mmoja, kumbuka Roberto Firmino anachezeshwa kama False 9 ndio maana kuna baadhi ya mechi timu huwa inapata shida sana kupata matokeo mazuri.Si mnaona nawaambia mido Imejaa mbele kumejaa. Nyuma ni kama kamaliza. Unless atake kuziba nafasi ya lovrenView attachment 1534807
Kuna kitu nakiona kwa Minamino sikioni kwa OrigiMkuu hamna team inayokosa magalasa mana huuwezi lipa mshahala sawa kwa wachezaji wote kweli Origi hafai nafasi yake unaziba na nani?
Au ndo Minamino?
Hii timu mkitaka msipotee basi fanyeni yafuatayo:
1.uza firmino chukua striker wa maana achana na huyu mtu kashapoteza targets za goli
2. Tafuta mbadala wa origi hakuna mtu humu mchezaji wa timu ndogo
3. acheni kusajili wachezaji wa mchangani kama minamino na shaqir punguzeni ubahili chukueni wachezaji wa maana
4.mtemeni chamberlain mapema ikibidi uza kabla ajapata pancha nyingine
5.tafuteni kiungo mbunifu hata mmoja dizaini ya pogba au bruno
alafu unasikia mtu anasema corona
Huna akili wewe wabwabwaji tuFabinho hamkaribii Bruno hata robo nyie wenyewe mnalijua hilo
Proffesional footballer wote wapo hivyo, and they are enjoying bila kujali timu wazishabikiazo na wanazozichezea. Hivyo sio liverpool tu. Malengo yao ni mafanikio yao ya timu na binafsi.Nakumbusha tu kuwa Wachezaji wa Liverpool pale Wameajiriwa na wala hawapo kwa hisani.
Hivyo wanachokifanya chochote pale wanakifanya kama Waajiriwa wanaolipwa ili wakifanye! Kama wakitupa makombe hile ni kazi yao wamelipwa wayalete na wala hawayaleti kwa hisani au mapenzi. Pale kila mchezaji anamapenzi na Timu yake! Wengine ni washabiki wa Manure, Arsenal, Leeds, Man City and co. Lakini wanafanya kazi Liverpool.
Hivyo mchezaji kama aliifunga Barcelona akatupa Kombe hivyo ilikuwa ndiyo kazi aliyoajiriwa na wala hakufanya kwa mapenzi au hisani. Hivyo ukifika muda anaweza kuondoka au kuondoshwa bila ya kufikiria chochote alichowahi kukifanya! Tutakachokiweka kwenye kumbukumbu zetu ni Legacy yake tu aliyoiwacha.
Ni wachezani wachache sana waliowahi kuchanganya Ajira na Mapenzi ya Timu! Mfano ni Agger, Carragher na Kidogo Gerrard!! Kwanini nimesema kidogo Gerrard? Rejea mwaka 2005 sakata la Gerrard alipotaka kujiunga Chelsea, aliyoyasema sisi wengine mpaka leo hatuyasahau jambo lililonifanya mpaka leo siamini kuwa kila Scourser ni mshabiki lialia wa Liverpool.