Kamugy T
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,110
- 1,226
Wewe timu yako iliyokamilika imechukuwa kombe gani tangu msimu ulioishaHii timu mkitaka msipotee basi fanyeni yafuatayo:
1.uza firmino chukua striker wa maana achana na huyu mtu kashapoteza targets za goli
2. Tafuta mbadala wa origi hakuna mtu humu mchezaji wa timu ndogo
3. acheni kusajili wachezaji wa mchangani kama minamino na shaqir punguzeni ubahili chukueni wachezaji wa maana
4.mtemeni chamberlain mapema ikibidi uza kabla ajapata pancha nyingine
5.tafuteni kiungo mbunifu hata mmoja dizaini ya pogba au bruno