Liva ikicheza na Henderson akiwepo timu inakua ngumu kufungwa.Rejea kusoma tena post uliyoniquote
nadhani hujamwelewa, nilivoelewa mimi anauliza je timo ni bonge la mchezaji kama alivyokua torres?.......Mkuu unamkumbuka 'Torres' wa Chelsea vizuri sio yule wa Liverpool...
YNWA
Ki ukweli tutaburuzana hamna namna...
Mara pap Hakim na Timo wakaanza maisha yao darajani kama alivyoanza Pulisc haha utakimbia uzi huu walah ndugu maana utakua unapigika tu.. Ama Timo akawa kama Shevchenko ama Torres
Thanks ndugu kwa ufafanuzi...nadhani hujamwelewa, nilivoelewa mimi anauliza je timo ni bonge la mchezaji kama alivyokua torres?.......
ni kama anaona kwa timo kutokuanza moto haitakua shida as uwezo wake ni mdogo kuliko alivokua torres!
Kati ya Torres na Suarez yupi alikuwa mkali zaidi Anfield?Yani ni bonge la mchezaji kiasi cha kufanana na kina Torres?
Kwa mimi ni SuarezKati ya Torres na Suarez yupi alikuwa mkali zaidi Anfield?
Hamna hela mtasajili na mapu..m.bHivi wakuu Sisi huwa tunakwama wap? Sana Sana Mana fekir ilobaki kidogo atue haya timo ni Sisi ndo tulianza wakwanza leo leo hayupo au hatuna. Bahati na wachezaji? Mana sielewi
mzee unapenda kutumia lugha tataHamna hela mtasajili na mapu..m.b
Mbona hamna lugha tata hapomzee unapenda kutumia lugha tata
Dah mkuu unatutaka nini mbona unatuweka majaribuni.Kati ya Torres na Suarez yupi alikuwa mkali zaidi Anfield?
Kati ya Torres na Suarez yupi alikuwa mkali zaidi Anfield?
Hivi huyu jamaa (Torres) yuko wapi siku hizi?The statistics show that Fernando Torres in his prime in a Liverpool shirt was a much better finisher than Suarez for Liverpool, however, the overall influence Suarez had on the game exceeds the grip that Torres during his time at Liverpool.
Suarez is a much more involved player, a more creative and dynamic forward than Fernando Torres, but is that something of greater importance than finishing?
Torres was blessed to play with good players around him especially Steve on his peak ..
Surez had to wait for Daniel Sturidge to get a proper partner..
That said i will go with Surez..
YNWA
Nadhani yupo Japan..
Alivyotoka AT alisajiliwa Japan kwa msimu mmoja..
Wanasahau usajiri ni kamari ,Ki ukweli tutaburuzana hamna namna...
Mara pap Hakim na Timo wakaanza maisha yao darajani kama alivyoanza Pulisc haha utakimbia uzi huu walah ndugu maana utakua unapigika tu.. Ama Timo akawa kama Shevchenko ama Torres [emoji23][emoji23][emoji23]wewe haya
Yajayo yanafurahisha..
YNWA
Liva ikicheza na Henderson akiwepo timu inakua ngumu kufungwa.
Kiungo anayesaidia ulinzi hawezi kua AMF. Yet wewe unasema jamaa ni AMF.
Swali nililokuuliza ni kwamba kama viungo wa Liva wangebeba duties unazosema formation ingenyambuliwa ingekuaje, haujalijibu.
Liva inategemea attacking fullback wafanye contacts na wingers ili kushinda. These fullbacks wakiwa wamebanwa ndiyo Liva unaona inatremble.
Nasema kwa mara nyingine Liva anacheza 4 3 3 holding. Ambayo Fabinho anakua DMF na Gini na Henderson wanakua CMF. Kumlinganisha assisst na magoli na De Bruyne ambaye ni AMF ni kumuonea.
Wewe muache uzuri hua ni mwepesi wa kujipiga ban chap mambo yakishakua sio...Wanasahau usajiri ni kamari ,
Duh!Ebwanae Yaishe! Sikuhizi kila mwenye Akaunti JF na Twitter ni mchambuzi coz its free kugoogle ukakuta misamiati ya DM, CM, CF na AM.
mkuu torres alizungukwa na watu waliokua wanatoa services za kutosha, he was very deadly mbele ya goli, lkn lazima ukumbuke alizungukwa na the likes of stev, xabi ambao walikua wanamlisha sana!Kati ya Torres na Suarez yupi alikuwa mkali zaidi Anfield?