Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
pole mzee ulijimwambafai mnoo aiseeeNimeibuka mzeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Machungu yameishaaaa...
Apa tukikamilisha usajili tutakuwa tunakula vichwa msimu ujao bila huruma..
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua mimi sikasirikagi ata wewe uki mind fresh tu ..
Chelsea ni timu ya baba, timu ya mama, timu ya bibi, na babu pia..
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
asepe aende wapi mkuu?Uyu klopp asepe mapema la siivyo wakina Salah watamwaribia eshima yake..
yale yale ya fekir[emoji23]Thiago Alcantara would like to join Liverpool and Bayern have accepted that he wants to leave, report Kicker [emoji1666]
However, the report also says Liverpool have doubts about the 29-year-old's injury record and age [emoji848] https://t.co/gHCcATqTrW
Sure ndugu...Ila offer yao ya kutaka tu-double naona kubwa sana kwa huyu dogo
Ngoja tuone Edwards atawachomoaje
Haha Fekir mkuu ni fire aisee hivi sijui Klopp amfuate alipo mazima ndogo bado anatufaa..yale yale ya fekir[emoji23]
Hahaha, nimecheka kwa huo mfano wako wa Arsenal.
Tusubiri kwa imani. Siyo mara ya kwanza sisi ku-doubt ila jamaa akatugeuka.
Sema nilikuwa nahitaji timu ya kupambana UEFA kibabe, ila kwa style hii sidhani kama itakuwepo timu ya hivyo.
Hahaha Nike hapo wanatoa ela ndefu kwa vile pia ana udhamini nao...Hahaha, shareholder huyu.
Anafurahi tu share zake zinavyozidi kuongezeka thamani.
Exactly ndugu.. Hapo ndio kazi inaanzia kua na mbinu mbadala..Mkuu ile kutolewa kwenye uefa itakuwa imetupa funzo na kuonesha mapungufu yetu,me naamini tutasajiri tu,maana tuliumia sana kufungwa anfield.
Kwa sasa kukumatika kwenye timu yetu tunakuwa atufungi jamaa wanakaa nyuma timu mzima,sisi tunabaki tunapiga pasi zisizokuwa na maana yoyote.
Uyo jamaa ajui utani msameheni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iyo community shild aitakuwa na ladha yeyote maana wapinzani wa kweli atumo..
Wale arsenal wanaeza wakawapiga pia...
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Ila De Bruyne ni AMF wakati Henderson ni CMF mwenye akili ya kudefend zaidi. Ndiyo maana akicheza ulinzi unakua wa uhakika.
Ila De Bruyne ni AMF wakati Henderson ni CMF mwenye akili ya kudefend zaidi. Ndiyo maana akicheza ulinzi unakua wa uhakika.
kwa mfumo huu weak link ni gini/hendo...... yan mido haitoi magoli kabisa hii
Duh. Fanboy tena?? ShukraniHakujawahi kuwa na tofauti kwenye ulinzi anapocheza Hendo au asipocheza! Shida ya Hendo Fanboys hamutaki kutumia stats kwenye chambuzi zenu tu kwasababu munajua kuwa numbers don't lie.
4 3 3 ya Liva siyo attacking ni 4 3 3 holding. Ingekua 4 3 3 attacking Wijnaldum kuscore isingekua tatizo.Hendo sio CMF
Hendo natural yake ni Mido Mshambuliaji au namba 10.
Hiyo Difensive Minded ilijengwa karibuni tu na Klopp baada ya Timu yetu kutokuwa na Kiungo Mkabaji hasa Lucas Leiva alipoondoka kwenye Reli.
Ujio wa Fabinho umemrudisha Hendo kwenye Nafasi yake ya ushambuliaji kwani kwenye CM yupo Gini au Keita.