Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Kumbe umekubali position aliyopo Mane? Sasa mbona hawakumpa Player of the Year kama ndo namba 1 kwenye contribution ya Ubingwa na badala yake wakampa Le Captain?
tusubiri tuzo ya mchezaji bora wa club kadri ya kura za wachezaji wenzake!
 
Ha ha haaaa kuna watu mitazamo yao ipo kwa watu wakiwasikia fulani hafai basi ndo hatofaa.

Nauliza tu hivi Chambalin na shaqil nani kamzidi mwenzie?
ahahahahah ni swali la mtego najua humpendagi Chamberlain
Ila mimi wote naona wako sawa na wanajua ila tu Shaqiri hakupewa muda wa kutosha
 
ahahahahah ni swali la mtego najua humpendagi Chamberlain
Ila mimi wote naona wako sawa na wanajua ila tu Shaqiri hakupewa muda wa kutosha
Mkuu mimi napenda mchezaji anaefanya kitu uwanjani Chambalini inategemea na mechi Shaqili mechi zote alizo cheza hokosi kitu cha kumsifia.

Kwangu mimi Shaqili ndo anafaa zaidi.
 
BBC Sport readers verdict for EPL season 2019/20... here we go.

the beauty of this outcome is that all 4 players (in one way or another) have a connection with LFC.

KDB - a LFC boyhood fan
the rest - needless to say!

20200729_190531.jpg
 
here comes the gaffer himself... BBC Sport readers award.

Masaai Ole vipi? in maana hakupigiwa kura hata moja even na wapenzi wa Manure?

View attachment 1520524
View attachment 1520522
All the protocols observed...

1st run up Chris whats a season they have achieved from 2nd tier to challenging for top 6 spots is just magnificent...

Klopp the German guru soccer King is the real deal...

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom