Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,069
- 20,330
Front 3 yetu imepungua makali
Ndio mkuu imepungua ila me navyoona kutoka na malengo tuliokuwanayo msimu huu kwenye kuakikisha tunachukua Epl,tulifocus kwenye ushindi tu sio nani amefunga.tulicheza zaidi kitimu,ndio maana mpaka Henderson amekuwa mchezaji bora.
Wengine wameshindwa kuonekana licha ya kufanya vizuri.
Ligi imeisha tumeshinda mechi 32 ushindi.draw 3 lose 3.

