Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
bila shaka ujio wa Nike utatusaidia kumiliki tena soko la Asia, soon tutarudi kwenye namba yetu

Screenshot_20200730-092613.jpg
 
Ha ha haaaa kuna watu mitazamo yao ipo kwa watu wakiwasikia fulani hafai basi ndo hatofaa.

Nauliza tu hivi Chambalin na shaqil nani kamzidi mwenzie?

Wote ni walewale tu! Lakini hawa huwezi kuwalinganisha hata kidogo kwasababu hawachezi position moja.

Chamberlain ni Central Midfielder while Shaqiri ni Winger au even Striker/Namba 10.

Kwahiyo hapo mmoja hawezi kuwa Mbadala wa mwengine.

Shaqiri anacompete na Salah, Bobby, Mane (Front 3), Origi na Minamino.
Chamberlain anacompete na Hendo, Gini, Keita na Milner.
 
bila shaka ujio wa Nike utatusaidia kumiliki tena soko la Asia, soon tutarudi kwenye namba yetu

View attachment 1521192
£64.3m rise is just wonderful...

The success in the field translate to success in our accounts this is really important in terms of paying our super players deserved salaries, developing training grounds, developing Anfield, signing new recruit etc..

YNWA
 
This dudes have adapted the right attitude how to behave in the field and evade serial injuries thier fellow wingers suffer to keep them grounded for long ...now Klopp need to spice things upfront since our main threat there aint getting any younger and the bench aint equipped when the going get tough..

Since we shifted from genggenpressing seems its has done us wonders..

YNWA
 
£64.3m rise is just wonderful...

The success in the field translate to success in our accounts this is really important in terms of paying our super players deserved salaries, developing training grounds, developing Anfield, signing new recruit etc..

YNWA
kabisa mkuu, nadhani pia patners wetu kwenye eneo la kits hawakua vizuri kwenye marketing..........

bila shaka from this season on tutaanza kuona matunda ya Nike as wana maduka mengi sana duniani hasa asia huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom