Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tatizo lako hujui mpira kaka, unafatisha sana numbers, anord kazi yake ni kukaba, kufunga na assist hizo ni nyongeza tu kwenye kiwango chake, kwenye jukumu lake kama beki kafanya nn???
Tatizo lako unamuattack jamaa sijui kwa nini roho yako inakuuma ukiona post zake huongei point kama mwanaume unakuwa kama mwanamke
 
Tatizo lako hujui mpira kaka, unafatisha sana numbers, anord kazi yake ni kukaba, kufunga na assist hizo ni nyongeza tu kwenye kiwango chake, kwenye jukumu lake kama beki kafanya nn???

Hapo kwenye kulinda nakuunga mkono
 
Henderson alitamka wazi kabisa kuwa anajua Mashabiki hatumtaki
 
Liverpool imefungwa magoli mangapi unayoweza kusema ni makosa ya TAA?

Nikwambie kitu kimoja, wewe jamaa uko so inferior kwa mshikaji, jitahidi, maisha hayako hivyo.

Njoo na uchambuzi wako, na siyo ku attack mtu aliyetoa points.

Yani mpaka nashangaa! Jamaa tokea nianze kumuona hapa JF basi anaonekana kwenye Posts zangu tu! Humuoni kupost kitu as him, bali anasubiri nipost kitu ndiyo aibuke.
Tena nakumbuka niliwahi kumuignore na mpaka sasahivi yupo kwenye ignore list yangu lakini posts zangu anaziona na kureply! Sijui JF inani.
 
Kama umejaliwa kuwa na roho ya kusifu na kuabudu kila kitu, huyo ni wewe.

Ukimsifu wewe inatosha. Siyo lazima wote tufanye kazi sawa.
Hakuna aliyekulazimisha umsifu, kizuri chajiuza[emoji23][emoji23]

Capitaiiiiin[emoji123][emoji123]
 
Hapo kwenye kulinda nakuunga mkono

Hapo kwenyekulinda tulishajadili zamani kuwa nje ya mfumo wa Klopp jamaa ataonekana kama Shomari Kapombe tu, hata Mtoto mdogo anajuwa TAA si mkabaji, Lakini hili mimi simlaumu kwasababu TAA katika maisha yake yote ya Academy amekulia kama Defensive Midfielder na sio Fullback.
Amegeuzwa kuwa Fullback baada ya kuumia Clyne na tukawa hatuna mbadala.

Lakini kuhusu mchango wake wa ushambuliaji kama sio huyu dogo basi haya makombe 4 tungeyasikia tu kuwa yapo.

Unaweza kura Assist katoa Salah au Mane lakini building ni ya huyu Dogo.

Barcelona tuliwatoa kwa sababu ya huyu dogo then pongezi zikaenda kwa Captain kuwa ndiye Mchezaji wetu bora.

Sikumbuki kuiona game ambayo TAA na Robbo wapo kwenye kiwango chao tukapoteza game hiyo.
 

Namwonaga jamaa, kutakuwa labda kuna sehemu umeingilia interests zake.
 
Dah, usinikumbushe huo mpunga wa Ozil unaniumiza sana
 
Klopp na Jordan Brian Henderson ndio siri ya mafanikio ya Liverpool.




Hii haina mjadala
 
Klopp na Jordan Brian Henderson ndio siri ya mafanikio ya Liverpool.




Hii haina mjadala
Mkuu kwanini unajificha kwenye kichaka cha Henderson kila siku, Sema tu wazi usione Aibu kwamba Mimi DullyJr nimehamia kwa Mabingwa wa Dunia Liverpool fc it's simple tu.
Tutakukaribisha vizuri Mkuu.
 
Sad kiwango chake kilishuka

But no way our team has to get the quality it deserves

Bye bye Maestro Lallana
Mkuu ule uzi wa Liverpool sio masihara kabisa yaani unahitaji zaidi ya kupaji ku shine pale Anfield...

Boy had potential when we poached him from Southampton, balaa la majeruhi and Klopp bringing better upgrades zaidi yake meant end for his career with us...

In any way, we say thanks to this Everton boyhood lad...

Hopefully we meet him in the future EPL na mashabiki wakiwa warejea ili apewe heshima yake..

YNWA
 
Mkuu kwanini unajificha kwenye kichaka cha Henderson kila siku, Sema tu wazi usione Aibu kwamba Mimi DullyJr nimehamia kwa Mabingwa wa Dunia Liverpool fc it's simple tu.
Tutakukaribisha vizuri Mkuu.
[emoji23][emoji23]Labda iwe Mars,
Lakini si kwa dunia hii, endelea kuota mkuu, ina maana ninavyokuwa kule ktk jukwaa la Chelsea nakuwa chelsea, nikienda manchester nakuwa manchester[emoji23][emoji23][emoji23]

Kama ndio hivyo basi shabiki wa Liverpool ni mkuu Captain Marvelous tu, maana yeye huwezi mkuta majukwaa mengine kizembe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…