Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Nimekuelewa vema Sasa mkuu,ila macho hayafanani wewe unavyoona ni tofauti na Klopp anavyoona, ulijuaje Wij na Mane kama wangekuwa na class hii ya Sasa?

Bora ungeniuliza ulijuaje kama Robertson angekuwa na Class hii ya sasa ningekuelewa zaidi.

Mane tokea yupo Soton alikuwa Talented na ndiyomana alitudungua misumari 2 mizuri kabisa.

Gini hajawahi kuwa World Class, ni Mchezaji anayejituma tu.
 
Mimi nina tabia ya kukariri tabia na uwezo wa Mtu katika kufanya jambo.

Tokea msimu wa 2013/14 Rodgers alipotukosesha Kombe kijinga kwenye vs Chelsea ambayo hakuwa na chakupoteza basi nimeamini kuwa kamwe hawezi kuipatia Timu yoyote mafanikio unless spate Timu kama Celtic iliyokuwa haihitaji ubora wa kocha kushinda Ligi bali nguvu yake ya kiuchumi tu ukilinganisha na Timu nyengine ndiyo inampa mafanikio.

Hata mwanzo mwa huu msimu ambapo baadhi ya Washabiki walijiaminisha kuwa Leicester ni title contender basi nilipinga na kusema mwisho wa msimu Rodgers atagombania Top Four.

Rodgers Timu aliyonayo haina uwezo wa kushindana na Timu za Top Four kwahiyo anapoingia uwanjani kupambana nao anapaswa awe na Plan B ya defensive minded lakini yeye akili hizo hana.

Niliwahi pia kuandika hiko kitu December, walipata upepo sana round ya kwanza.

Screenshot_20200720-073720_Chrome.jpg
 
NEW: Jurgen Klopp has given the direction for Liverpool to sign Thiago. The player and club have agreed personal terms. Now up to clubs to agree a fee, according to Bild

Sent using Jamii Forums mobile app

Taarifa ya kukubaliana terms niliiona The Morror kama wiki hivi imepita.

I think we will do this business.
 
Taarifa ya kukubaliana terms niliiona The Morror kama wiki hivi imepita.

I think we will do this business.

Mkuu huyu Thiago nimepitia stats zake na naona yupo level moja na Gini, Hendo aisee...

Numbers dont lie...

Gini has better pass accuracy, completion.. Shots on target, big chance created, goals wapo sawa 3..

Kama kweli bei yake ni hio £30m aisee Edwards asitoe hio ela kabisaaa.. Kwangu naona we need MF real wizard with penetrative passes and goal outside the box..

Kama ni all purpose MF basi we go for Thomas Partey wa A. Madrid he is young at 27.. Tackles, aint passed easily, work machine, can shoot, long range passer nk.. Bei yake kwa soko la sasa haitazidi £50m..

Chelsea wanatua mazima kwa Kai.. Lol just like Timo i think we will pass this one too...

We have a very inconsistent MFs in Gini, Hendo, Keita, Ox nk hivyo this time round Klopp should sort this area properly.. Na hio itampa room to change the system mara kwa mara sio kama sasa we 4 3 3 team...

YNWA
 
Mimi huyu mtu hata sijamfatilia, ila kiukweli kiungo yetu imechoka, kiasi kwamba niko tayari kupokea yeyote aisee.

Ukiacha Keita (iff injuries set him free) na Fabinho, pale katikati sioni kabisa watu wa kutusaidia kupambana msimu ujao.
 
We need someone like him mtu anayeweza kui control midfielder yetu na wakati huohuo anaweza ku help Attacking.

Thiago Aĺcantara ni type ya midfielder we need,We need something different we have to many midfielders the same.

Tunahitaji midfielder mwenye uwezo wa kuwa comfortable with the ball like THIAGO AĹCANTARA.
 
Mimi huyu mtu hata sijamfatilia, ila kiukweli kiungo yetu imechoka, kiasi kwamba niko tayari kupokea yeyote aisee.

Ukiacha Keita (iff injuries set him free) na Fabinho, pale katikati sioni kabisa watu wa kutusaidia kupambana msimu ujao.
EbRZn1uX0AAZa4m.jpeg

Sure Mkuu ukipata muda pitia stat zake, he is comfortable with the ball on his feet, he has the best turn on output Bundlesliga this season among all CMs...

Tunachohitaji na MF to open the stubborn defenses when our usual dynamic Wing back cant create scoring passes... Mpaka sasa i would say our LB na RB ndio main creators wetu ku assist the front three... Our MF needs proper overhaul sidhani combined hata kama wana assist 30 msimu EPL...

My main worry ni hii effect ya corona kwenye bajeti yetu hivyo hatuna luxury ya buying just for the sake of buying...

Personally i would take C10 back over Thiago if he can come and regain his form with us....

Well time will tell...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom