Pigeni tu, maana hao jamaa wanabwabwaja kinoma.Tuwabutue hawa Chelsea ili wakarushane roho na wolves mechi ya mwisho na shetani akichinjana na Leicester
Tuwaachie tu ChelseaMimi nachotaka tuweke heshima Leo anfield iwe msimu wa tatu hatujafungwa hapo kwenye league, Chelsea wasichafue record
Siti ya mbele kabisa hapa banda umiza kwa UjuguKeita lazima aivuruge mildifield ya hawa london babies
Mpe hi Ujugu mkuuSiti ya mbele kabisa hapa banda umiza kwa Ujugu
Nilisema nilisemaKeita lazima aivuruge mildifield ya hawa london babies