Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,749
- 28,144
Bro nahisi tumepata kiungo kaliba ya Steve g ,jamaa anapiga miwa ya mbali kama g vile lakini kumfikia g akaze kweliJamaa anajua, yuko vizuri sana aisee.
Bro nahisi tumepata kiungo kaliba ya Steve g ,jamaa anapiga miwa ya mbali kama g vile lakini kumfikia g akaze kweliJamaa anajua, yuko vizuri sana aisee.
Bro nahisi tumepata kiungo kaliba ya Steve g ,jamaa anapiga miwa ya mbali kama g vile lakini kumfikia g akaze kweli
Neco William nilisema ndo mbadala wa Alex anord. Lovren lallana shaqiri wakisepaHuyu Neco Williams ni mapema ndio, kwan kila mafanikio si huanza na hiyo mapema?? Huu ubingwa si ulianza ni bado ni mapema??
Neco williams he has potential. My new man.
Maamuzi ya haraka, he like to shot and have that ability to do so.
Stay fit for the next season.
Gomez.
Keita.
Chamberlain.
Matip.
Kisha tumuongeze coutinho na traore tutapata katimu kasicho na majina makubwa ila ukali wake hautaelezeka.
Sioni tukienda for CB & LB.
Mkuu zikifika nishutue aiseeeee tuambizane kabisa na beiT-shirt na Caps za HALISI kwa ajili ya sherehe yetu ya ubingwa zitaanza kupatikana muda si mrefu, mpaka sasa tunamsubiri mkuu Malafyale mwenyekiti wa umoja wetu ili atupe utaratibu,
be attention.
Good Bado point ngap? Tutangaze uchampion? Wetu?
hatimaye kazi imeisha tuombee Chelsea atoe droo na city
Wakuu mnaonaje performance ya fabinho pale kati?? Awesome
Kwa hili sibishi mkuuMonster
Kama ni gari ningelisema ni War Tank (Kifaru).
Lakini mkuu city akishinda si tutakuwa na mazingira mabaya??amaWakati tumeshachukuwa ubingwa bora Chelsea lifungwe uko liache jeuri.
Yeah ni kweli mkuuSidhani kama ni sahihi kumlinganisha na Steven Gerrard, aachwe apambane bila kupewa mzigo wa ulinganifu.
Ubingwa tayari hata akifungwaLakini mkuu city akishinda si tutakuwa na mazingira mabaya??ama
1Good Bado point ngap? Tutangaze uchampion? Wetu?
Hakuna draw city anakufa nyingi ..Wakuu mnaonaje performance ya fabinho pale kati?? Awesome



Unafungwa hadi na Barkley kwanini tusiwe wajeuri..Wakati tumeshachukuwa ubingwa bora Chelsea lifungwe uko liache jeuri.
Mimi leo niko zangu nafuatilia LIvescore Chelsick Vs Man Shit huku nikiwatakia kila la kheri Chelsick... Yaani wakiwatwanga hawa majamaa au hata wakitoa droo tu....vijana wangu wanatwaa ndoo wakiwa hotelini...Bado unahesabu za ubingwa? Mbona tumeshabeba zamani tu bali Corona ilituchelewesha.
Mimi sasahivi nimeshaacha habari za kukaa kwenye TV nikaangalia Liverpool kutafuta ushindi, Ninachoangalia kwasasa ni Performance ya Timu tu na wala sio habari za kuweweseka na ubingwa.
Alivyorudi baada ya lile jeraha alipwaya fulani.. Alikosa ile identity tunayojuaWakuu mnaonaje performance ya fabinho pale kati?? Awesome