Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Hahaha babu weee...Mimi leo niko zangu nafuatilia LIvescore Chelsick Vs Man Shit huku nikiwatakia kila la kheri Chelsick... Yaani wakiwatwanga hawa majamaa au hata wakitoa droo tu....vijana wangu wanatwaa ndoo wakiwa hotelini...
Natamani nimwone msaliti Raheem Sterling anavyoumia anavyowapa vijana ubingwa wakiwa hotelini wanakunywa wine...
Ki ukweli ndogo Raheem leo atafia uwanjani aisee utashangaa atakavyowasumbua Chelsea...
Hawa kutupa guard of honour hawawezi kwepa kabisaa... Wakichomoka leo tunao kwao 2/7/20...
It's cant get better than this...
Champions in waiting 👏👏👏👏👻👻👻👻👻
YNWA