Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mimi nataka game 2 tu tumalizane na ubingwa, maana hii Corona imetisha sana.
Mkuu hili janga limetingisha mpaka tunakosa burudani Kwa muda wote huu...

Mpaka sasa ingekua mwali ametulia Anfield..

Angalau EPL wameamua kuchukua risk ligi iishe bila mashabiki na kuchukua tahadhari zote Kwa wahusika watakao kuwa uwanjani..

Sasa Juni ligi inarejea tukamilishe tulichokusudia...

Kuna gemu za burudani vs Citizens, vs Everton, vs Les Blues, vs Gunners..... Bring them...

YNWA
 
Kwa hizi game zilizobakia kuna uwezekano wa vichapo kama viwili mfululizo

Chelsea anaweza kuwabonda tena

Man city hatawaacha kudadeki

Asenal ishajifia lakini inakuja na vibe la corona

Everton anawachukia atafia uwanjani

Sasa hapo mnaenda kuchukua ubingwa wapi???

Nyie majogoo kazi mnayoo
 
Ndugu yangu tumemuacha Manchester City pointi 25 na tumebakisha mechi 9 kumaliza Ligi..

Kombe linatua Anfield ndugu ni muda tu tunasubiri....

It's coming home, come rain come sunshine..

YNWA
 
" Allison Becker, akiwa goli anajua kumiliki mpira sana kama Andrea Pirlo, hata timu ikiwa ina presha anajiamini sana anahitaji apewe mpira huwa nafurahi sana tukiwa mazoezini pia amefiti sana kwenye mfumo wa Jurgeon Klopp
.
.
" Timu nyingi zinapenda kukabia juu kwa spidi ila yeye anajua kumiliki mpira hata washambuliaji wakiwa wanakuja miguu yake ni mepesi sana
.
.
" Kwa mfumo wetu huwa tuna shambulia kwa spidi mara nyingi huwa tunategemea Allison kwenye eneo la goli kipa tukiwa mazoezini huwa napenda kumuita Andrea Pirlo,"Kocha Msaidizi wa klabu ya Liverpool, Jack Robinson.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namwamini zaidi Ederson Santana kuliko Becker ikija suala la kurudishiwa mpira nyuma aisee kuna kipindi Allison hua na papara sana...

YNWA
 
IMG_8204.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa hizi game zilizobakia kuna uwezekano wa vichapo kama viwili mfululizo

Chelsea anaweza kuwabonda tena

Man city hatawaacha kudadeki

Asenal ishajifia lakini inakuja na vibe la corona

Everton anawachukia atafia uwanjani

Sasa hapo mnaenda kuchukua ubingwa wapi???

Nyie majogoo kazi mnayoo
Mechi 2 sijazo ni Everton na. Villa then City. Tuna chukua huo ubingwa kabla hata ya huyo City. Chelsea mechi yake it akuwa mwisho huko Watakachoweza ni kutupigia makofi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hizi game zilizobakia kuna uwezekano wa vichapo kama viwili mfululizo

Chelsea anaweza kuwabonda tena

Man city hatawaacha kudadeki

Asenal ishajifia lakini inakuja na vibe la corona

Everton anawachukia atafia uwanjani

Sasa hapo mnaenda kuchukua ubingwa wapi???

Nyie majogoo kazi mnayoo

Chelsea kutufunga kwenye lig sio rahs kama unavyofikiria, kwanza kbla ya chelsea tutakuwa mabingwa tayal...

Na uko kurud na moto kwa timu nyingine kwani sisi haturudi na moto... moto wetu wa kupata point 6 utafananisha na moto wa timu yako.

Et Everton na arsenal... acha kuendeshwa na mapenzi mzee, hivi karibun uliona wakitusumbua!

Nilihs utaeleza kwa facts kwani..watakuja na moto

...
 
Chelsea kutufunga kwenye lig sio rahs kama unavyofikiria...

Na uko kurud na moto kwa timu nyingine kwanini sisi haturudi... moto wetu wa kupata point 6 utafananisha na moto wa timu yako.

Et Everton na arsenal... acha kuendeshwa na mapenzi wewe, chuki inakufanya upinge ukweli.

Nilihs utaeleza kwa facts kwanini..watakuja na moto

...
Watford 3-0liverpool

Punguza jaziba

Hata astonvilla anaweza kuwapiga kipigo cha mbwa koko

Liverpool mmebakisha nini sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom