Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Katimu kadhaifu kalikowatoa nyie
Timu kushinda mechi ya mtoano haibadilishi ukweli kuwa ni dhaifu, toka january ilikua imeshinda nadhani robo ya mechi zake so ilikua weak mnoo. Ukiweka na majeruhi, ilishangaza wengi hta ilifikaje final maana ilikua imeshajifia.
 
Kwahyo liverpool kufika final back to back tunatakiwa tusemeje na hili??
 
Korona imeleta majanga kwenye burudani, Mechi zote za UEFA, EFL, EPL, Serie A na La liga zahairishwa hadi April 4. Nani ajuaye baada ya hapo tutasikia Ligi imesitishwa na Serikali ili kutoa fursa kwa serikali kupambana na maambukizi ya Korona
mwezi wa nne ni kesho tu na hakuna dalili ya corona kupotea mamaeeeee ligi ifutwe tu na liva asipewe ndoo tukutane mwezi wa nane united lazima tufe nae.......
 
We ni kilaza aliyekwambia miaka ya nyuma ukichukua FA huendi europa nani?
Limekua major kuanzia 2010 maana mshindi anaenda hadi UEFA ila wakati nyie mnabeba it was trash tu kwenye aggregates za UEFA na FIFA. Hata timu zilikua zinapanga vikosi vya pili tofauti na sasa wanataka a certain number ya 1st team players kucheza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarehe 2 mwezi wa 4 the FA watakutana kufuta matokeo yote ya msimu huu wa ligi. Liverpool itabidi msubiri mwaka mwingine wa 31 kujaribu tena.
Wakifanya hivi najua jiji la Liverpool litabadilishwa jina kuwa Bloodpool.
 
Swali ya namna hii hauwezi kujibiwa kabisa mkongwe.
 
Tumeshiriki mara tatu ndani ya miaka kumi na tumechukua, ila hao atletico wameshiriki mara kumi na wamechukua ngapi? Hivi ujiulizi kwanini wenger alitimuliwa arsenal?
 
We ni kilaza aliyekwambia miaka ya nyuma ukichukua FA huendi europa nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida Mmeanza kufuatilia mpira uzeeni.
Zamani kulikuwa na makombe 3 ya UEFA
UEFA Cup
UEFA cup winners' cup
UEFA champions league

Ulikua ukibeba FA cup basi una tiketi ya CWC mpaka miaka ya elfu mbili ndio mfumo ukabadilika na washindi wa FA ndio wakaenda UEFA cup na CWC likafutwa.

So till then halikua major trophy tofauti na sasa ambapo hata Carabao cup limehesabika kama major trophy sababu nayo inaweza pelekea bingwa wake UEFA kulingana na coefficients za nchi husika.

Ni muhimu kabla ya hii mijadala uwe na facts mkuu
 
Tumeshiriki mara tatu ndani ya miaka kumi na tumechukua, ila hao atletico wameshiriki mara kumi na wamechukua ngapi? Hivi ujiulizi kwanini wenger alitimuliwa arsenal?
Kwanini alitimuliwa mkuu?????
Na EPL mmeshiriki Mara ngapi na mmechukua Mara ngapi mkuu????

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…