BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,911
- 11,729
kabisaSasa hivi tungekuwa tumeshanyanyua ndoo yetu ya EPL lakini Corona naye akadai tungojee kidogo, Msimu hujao ikiwezekana tunyakue December kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app

kabisaSasa hivi tungekuwa tumeshanyanyua ndoo yetu ya EPL lakini Corona naye akadai tungojee kidogo, Msimu hujao ikiwezekana tunyakue December kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app

It's scary disease man, nothing of this magnitude has been seen in recent years..Man, hii ishu ni very serious.
nilikuwa najiandaa na league kuwa scrapped, ingeuma sana, especially kisaikolojia, but furaha ya kweli isingekuwepo kutokana na vifo vinavyotokea kila mahali, life is more important, maana majanga hayachagui kwa kuingilia, leo inaweza ikawa kwa ndugu/rafiki/adui yako, kesho ikaja kwako..
Ni kuendelea kuwa makini tu, na kuombeana uzima na usalama wa afya zetu.
i'm glad we will the league kama kawaida but nafurahi zaidi kuona Club ilikuwa tayari kwa outcome yeyote ile kutoka ngazi za juu, as waliamua kujali zaidi afya na usalama wa watu/fans kuliko kitu kingine, very good gesture.
Corona Virus ni very sensitive issue, we need take care of ourselves.
Sent using Jamii Forums mobile app
For the LB have seen some rumours about Ndicka from Franfurt, at 20 still young and fit our plan.. Sijamuona akicheza though but being understudy wa Robbo will do us good in the long term...Summer we should go for an attacking winger, CM, CB and a backup LB/RB..
i dont think Klopp will go for a typical number 9, he will still use Bobby there.
Sent using Jamii Forums mobile app
Allison for Reina, eeeerrrrr debatable!....,,,,, Fab for Masch, maelezo yako yanalogic thou kama Klop sio kocha Fab hawezi kumtoa Masch!...2008/09 and 2019/20 combined first team..
Alisson
Trent
Agger
VVD
Aurelio
Fabinho
Alonso
SG
Mane
Salah
Torres
I love Masch, but reason ya kumchagua Fabinho ahead of ni on-ball ability & intellegence (Passing technique, calmness on/off the ball, progressive plays/switches etc)..Masch was more of a monster (kwasasa unaweza kufananisha na DMs kama Casemiro/Fernandinho/Ndidi/Partey etc, aina ya DMs ambao wanafanya dirty works kwaajili ya kuwa-free two attacking Mids mbele yao, Masch had to do all the dirty works for Alonso & SG, ambapo kuna kipindi his lack of progression ilikuwa inaleta tabu kidogo especially SG or Alonso wakiwa na off-day)..
Faby with Alonso & SG under Klopp ingekuwa ni MOTO, but pia Masch+Alonso and SG under Klopp ingekuwa ni MOTO pia..depends na mfumo wa Klopp.
BUT, Faby+Alonso+SG under Benitez isinge-work as Faby siyo type ya Benitez kwa upande wa DMs.
so kama Coach ni Benitez, Faby & Trent watatoka..
kama Coach ni Klopp, Faby na Trent watakuwepo..
kama nikiulizwa mimi kwa maoni yangu, Faby & Trent nitawaweka in place of Masch & Arbeloa..
Alisson for Reina, VVD for Carragher.
Mane for Benayoun, Salah for Kuyt & El nino anabaki kama number 9.
Formation 4231/433, coach ni Jurgen Klopp.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure Klopp is very good at managing this one on one situation and we just hope for the best that there is way to address his reactions to disappointment.. He is a top top player and fans will react to anything that he say or tweets... Keeping him in his place is utmost for Klopp otherwise its will demean other players morale... Hopefully his great achievement with us in this short time won't cost us rather than more accomplishments to come...he just need to embrace his partners for the better of the club... Nobody is bigger than the club..Man, i just hope, Club pia inafatilia his recent atitudes, we MUST give him a good deal, because he deserves it, but lazima club i-manage his atitude.
You know, we know, the Club knows and yeye binafsi anajua kuwa ni the most in-demand CB in the world now, he wont struggle to get in kwenye team yeyote kwasasa duniani, na ni uhakika kuwa simu ya his Agency itakuwa busy sana kupokea/kusikiliza offers za Elite clubs around europe kuhusiana na VVD, so kwa mchezaji wa namna hii, lazima a-struggle kwenye suala la ku-manage his atitude because amechelewa kuwa used na suala la kuwa on top kwenye food chain, kina Ramos/Pique/Silva etc wamekuwepo on top ya food chain tangu wakiwa youngsters, it took VVD 27 years kuingia kwenye food chain ya juu, and mpaka sasa amewapita wote hao interms of individual success/recognation, so lazima aji-feel now, the truth is he's bigger than them, he's viewed as one of the greatest CBs of all time, and his individual accolades are backing that..
We need to restore the order in the team, we had SG, who was bigger than the Club, but hakuwa na hizi atitudes, so VVD can excuse us man, anahitaji kujua his place, i wont cry if he leaves, but surely that will be the end of our good run (lol), so ninachoombea tu ajitambue zaidi, 90% of LFC fans are looking at him kama Leader (new SG), na wanachukua chochote anachosema kama ni sheria vile, hata reaction ya ile interview yake juu ya Adrian, watu waliipokea kwa kumponda Adrian zaidi, but kama angekuwa ni mchezaji mwingine kasema hivyo, kibao chote kingemgeukia (excluding the untouchables Salah/Mane/Fabinho, Trent and Alisson, man kosoa hawa wachezaji and the entire fanbase will come at you, hahahah, Aisee hata mimi lazima nikuvae)
Man, i respect Adrian, he was just another footballer without a single trophy on his name, but he won his first trophy with us, and that was so special, as a human being i was so happy for him & his entire family.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa labda Real ndio hao kumnyemelea Mane ila Barcelona hawawezi kuna kipengele fulani kinabana na kinaisha June 2021 ndio watakuja mazima tena...Ila Barca na Real Madrid wanatuonea sana aisee , yaani hispanic akiwika tu Anfield wanamkomba Xabi Alonso Real walichukua Suarez Barca walichukua Mascherano nae Barca wakachukua
@MosDef ni mtu na nusuMan, i just hope, Club pia inafatilia his recent atitudes, we MUST give him a good deal, because he deserves it, but lazima club i-manage his atitude.
You know, we know, the Club knows and yeye binafsi anajua kuwa ni the most in-demand CB in the world now, he wont struggle to get in kwenye team yeyote kwasasa duniani, na ni uhakika kuwa simu ya his Agency itakuwa busy sana kupokea/kusikiliza offers za Elite clubs around europe kuhusiana na VVD, so kwa mchezaji wa namna hii, lazima a-struggle kwenye suala la ku-manage his atitude because amechelewa kuwa used na suala la kuwa on top kwenye food chain, kina Ramos/Pique/Silva etc wamekuwepo on top ya food chain tangu wakiwa youngsters, it took VVD 27 years kuingia kwenye food chain ya juu, and mpaka sasa amewapita wote hao interms of individual success/recognation, so lazima aji-feel now, the truth is he's bigger than them, he's viewed as one of the greatest CBs of all time, and his individual accolades are backing that..
We need to restore the order in the team, we had SG, who was bigger than the Club, but hakuwa na hizi atitudes, so VVD can excuse us man, anahitaji kujua his place, i wont cry if he leaves, but surely that will be the end of our good run (lol), so ninachoombea tu ajitambue zaidi, 90% of LFC fans are looking at him kama Leader (new SG), na wanachukua chochote anachosema kama ni sheria vile, hata reaction ya ile interview yake juu ya Adrian, watu waliipokea kwa kumponda Adrian zaidi, but kama angekuwa ni mchezaji mwingine kasema hivyo, kibao chote kingemgeukia (excluding the untouchables Salah/Mane/Fabinho, Trent and Alisson, man kosoa hawa wachezaji and the entire fanbase will come at you, hahahah, Aisee hata mimi lazima nikuvae)
Man, i respect Adrian, he was just another footballer without a single trophy on his name, but he won his first trophy with us, and that was so special, as a human being i was so happy for him & his entire family.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana MosDef umenielezea vizuri sanaKlopp used Coutinho as an inside winger (false 10) in a 442/4231 formations.
Then akambadilisha na kuwa LCM alipohamia kwenye 433, as an 8 (creating/moving the ball from wide areas)..na ndiyo sababu kubwa ya Barca's board kumnunua as waliona atakuwa perfect Iniesta replacement. but Valverde had another plans.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli nasikia kuna kipengere mliwawekeaKwa sasa labda Real ndio hao kumnyemelea Mane ila Barcelona hawawezi kuna kipengele fulani kinabana na kinaisha June 2021 ndio watakuja mazima tena...
YNWA

Kwa jina hili wewe ni Mganda wa Entebe kwa 100%![]()
![]()
mtakapobeba EPL kwa mara ya kwanza mkuu 😀 😀 😀 😀 😀Mkuu hiyo avatar unaitoa lini?![]()
Fab hawezi chukua namba kwa yule muhuni MaschAllison for Reina, eeeerrrrr debatable!....,,,,, Fab for Masch, maelezo yako yanalogic thou kama Klop sio kocha Fab hawezi kumtoa Masch!...
Dah mkuu ww ni mkorofi sana ,umeona umUweke maan ndo mtetezi wenu wa unbeatenmtakapobeba EPL kwa mara ya kwanza mkuu 😀 😀 😀 😀 😀
Bwana wee wabaki huko huko na mihela yao sisi tuna uchu na mataji kwa sasa kurudisha heshima yetu mazima...Kweli nasikia kuna kipengere mliwawekea
Kikiisha watawajia kwa fujo
Yah, The Dutch master alikuwa sio mchezo jamaa.Kwa Salah na Kuyt Kila mmoja angepewa mechi yake mkuu Kuyt hakuwa wa mchezo
wote wamefanana tu maana awajafanya chochote kwenye timu zao za taifa..Yah, The Dutch master alikuwa sio mchezo jamaa.
Dominating Europe?? This shitty fan should be reminded.......