Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,854
Some fans are like kidsDuh! Mkuu kama kuna mahali nimetukana naomba unisamehe.
Ligi itafutwa na mtacheza UEFA, sawa eeh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Some fans are like kidsDuh! Mkuu kama kuna mahali nimetukana naomba unisamehe.
Ligi itafutwa na mtacheza UEFA, sawa eeh!
Hii uefa kuahirishwa kwake ndio kutakatotuharibia sisi timu wapenda haki. Ilitakiwa ligi ifutwe tu tuanze upya!
Hahaha mwanangu unakazia!!Hii uefa kuahirishwa kwake ndio kutakatotuharibia sisi timu wapenda haki. Ilitakiwa ligi ifutwe tu tuanze upya!
Hii uefa kuahirishwa kwake ndio kutakatotuharibia sisi timu wapenda haki. Ilitakiwa ligi ifutwe tu tuanze upya!
Habari yako Mfalme ngwabaHapa ni baada ya Rivals kuona EPL haijafutwa kama walivyokuwa wanalialia kuwa Ligi ifutwe
View attachment 1393797
Nakumbuka continho alikuwa anatokea pemben kipind lallana yuko fresh lkn pia kipind ambacho firminho alikuwa kama no10, baad ya lallana kuwa floper countinho alikuwa anatumika kama number10 mbele ya emre can na hendoMashabiki wa Liverpool naombeni mnisaidie ,eti klopp alimtumia Coutinho sana nafas gani na namba ngapi ?
Katika 4-3-3
Asante , vipi kutumika kama namba 8Nakumbuka continho alikuwa anatokea pemben kipind lallana yuko fresh lkn pia kipind ambacho firminho alikuwa kama no10, baad ya lallana kuwa floper countinho alikuwa anatumika kama number10 mbele ya emre can na hendo
Mimi sio Liverpool lakini nakumbuka alicheza kama attacking midfielder wa kushoto kwenye 4-3-3 au attacking midfielder wa katikati kwenye 4-2-3-1Mashabiki wa Liverpool naombeni mnisaidie ,eti klopp alimtumia Coutinho sana nafas gani na namba ngapi ?
Katika 4-3-3
Huyu Attacking mid wa kushoto ni namba ngapi kwenye 4-3-3 ni no.8 au no.10 ?Mimi sio Liverpool lakini nakumbuka alicheza kama attacking midfielder wa kushoto kwenye 4-3-3 au attacking midfielder wa katikati kwenye 4-2-3-1
UEFA are winners kwenye hii crisis ya Corona, football wise..
they've agree to move Euros mpaka next year, ili kupisha leagues za ndani (around europe) kumalizika kwa nafasi..
but, moving the dates, kumekuja na costs, Clubs (around europe), will have to pay them millions kwa wao kui-move competition mpaka 2021 ili tu kupisha leagues..
at one point, clubs nyingine zilikubaliana ku-push dates mpaka early April/kucheza behind doors ili kwenda sawa na tarehe za Euros, but Corona imeonekana kuendelea kuwa tishio zaidi nchi za Ulaya, so kwa mfano kwa EPL kuamua kui-move league mpaka April 30, ambapo kuna games zaidi ya 90 zimebaki, inamaanisha kuwa league itaisha/kamilika June, same kwa UEFA champions league as nayo itakuwa ina-move kulingana na dates za leagues zote zinazoshiriki CL.
Yes, UEFA watapata profit nzuri, but again clubs (especially PL clubs), had to take risks, suala la kukatiza league, either kwa kuipa LFC trophy or ku-declare void, isingewezekana as smaller clubs zingekuwa affected sana kwenye ishu za TV money (rights), na pia Clubs kubwa zingepata hasara kwenye ku-pay off Tv moneys kwa broadcasters around the globe kwa kukatisha matangazo (under thr licence of Premier league corporate)..meaning PL broadcasters (ESPN/NBC/Mult-Choice/ITV-Uk/Skysports etc) zingedai the remaining rights kwa kukatisha matangazo, ambayo yangepelekea kuharibu mikataba ya sponsers kwa msimu husika, so chain ya pesa ni kubwa sana..
so, kwa club yetu, ingekuwa ni worse zaidi, as msimu huu tunategemea zaidi pesa ya PL, TV money & merchandises ili ku-complete our financial year as tumetolewa CL/FA na EFL, so source ya pesa kubwa sana this season ni TV money, which will be huge kwasababu ya our popularity this season, so season ingekuwa scrapped, sidhani kama tungefanya big signings, (well even now, tunategemea ku-generate money kutoka kwa kina Origi, Shaqiri, Grujic, Wilson, Lovren etc ili kuweza kununua the likes of Werner)...so imagine kama season ingekuwa scrapped..
Then, clubs will pay-off UEFA kwa hili, but pia kusogeza league mpaka june, it means kuna players ambao mikataba yao inaisha may (at LFC, kuna kina Lallana, Clyne etc), so kwa kusogezwa league mbele, it means they will stay mpaka league itakapoisha, as Lallana is eligible for PL medal (kacheza mechi si chini ya Tano)..so he'll be getting an extra cheque kabla ya kuondoka in June (he's on 130k+)..so we'll be forced to close our books on early July, and kuanza upya..
Chaos.
Sent using Jamii Forums mobile app
haha apo utakuwa unabishana kijiweniMashabiki wa Liverpool naombeni mnisaidie ,eti klopp alimtumia Coutinho sana nafas gani na namba ngapi ?
Katika 4-3-3


