choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,577
Umeongea ukweli mtupu, hao wanaosema wachezaji wakisajiliwa Liverpool hawataweza mfumo wa Klopp ni wageni kwa huyo kocha, wakumbuke kuwa alipokuwa Borusia Dotmund mbele alikuwa na Lewandowski kushoto Aubameyang upande wa kulia Mario Gotze, Kuna baadhi ya mashabiki wametoka vijijini ndanindani na walipofika mjini wakaanza kujifanya wanajua kuliko waliowakuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Real Madrid inacheza Ligi ya Wapi?
Man City inacheza Ligi ya Wapi?
Nyinyi Laliga Fanboys kwanini akili zenu zipo Kikoronakorona?
Yani munaibuka kwa baadhi ya Matukio na kupotea kwa baadhi ya Matukio.
Kabisa ndugu 35 shots on target na kupata goli mbili ni tatizo aisee....
Anyway let's wrap and get the most sort trophy by the Reds for the past few decades...
Angalau we won't finish empty this season..
YNWA
Liverpool wewe ndo ulikuwa na uwakika zaidi wa kufika mbali uefa kutokana na kikosi kilivyokuwa ..wengi tulijua mungefanya maajabu kama Man city walivyobeba baki to baki EPL lakini mumekuja kuwa walezi wa wanna munazingua kinoma..
Uefa msimu uu aitaenda England..
Labda Chelsea tunaeza fanya maajabu..
Bayern 0 - 4 Chelsea..
Ninyi kwa sasa kaeni kwa kutulia..
Pambaneni na EPL maana mikakati bado inaendelea..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa naona ni team ya bwana ako hii lazima uipende tuMnyonge mnyongeni ila haki yake mmpeni....jana liver mmepiga soka haswa, mlikua mnajua mnachotafuta..yaani mlinikabia watu mpaka mwenyewe nikachukia, game mliitawala vizuri sana.
naweza kusema bahati haikua yenu kwani kulikua kuna uwezekano wakupaikana magoli zaidi ya matatu..uwezo wenu ulikua unawatetea kupata ushindi mnono tu. Athletico Madrid alikua ameishiwa na mbinu..mchezaji pekee aliyekua akionekana ni kipa wao tu (hapo ni ndani ya dkk 90 za mchezo).
Baada ya kupata goli la kuongoza, mchezaji mmoja akaja kuwaangusha (kipa wenu Adrian) huyu ndio aliteondoa spirit yote ya ushindi kwa wachezaji na hata mashabiki wa liver..jana mlikosa kipa tu wadau..wala hamna sijui cha foward mbovu au beki mbovu kikosi jana kimepiga kazi haswa kwanzia foward mpaka mabeki wamekaza haswa..ndio maana walipata na goli la kuongoza..kidogo Sala alikua anazingua wengine sijaona mapungufu yao.
Mimi sio shabiki wa liver ila liver bado naipa heshima yake kama timu yenye kikosi bora..kosa la mtu mmoja haliwezi kuifutia heshima timu nzima..Kwa mpira mlioupiga jana mnastahili pongezi japo hamkushinda.
Big up sana liverpool.
Hamia man city's sasa uwe muimba mapambioYani dah Man City akimtoa Real ndiyo anaelekea kubeba UCL? Coz sioni tena wa kuweza kumstopisha!
Na Pep ameshaikosa EPL basi usongo wake atakufa uwanjani kwenye CL.
Liongo kabisa hilo shwainAcha uongo Aubemeyang hajacheza na Lewandowk Dotmund. Km si mfuatiliaji wa haya mambo acha kujimwambafy.
Sent from my iPhone using JamiiForums
officially natangaza for the rest of the season allegiance yangu ni kwa Pep & Man City wabebe UCL.
Pep akibeba UCL, lazima ataondoka Man City. which will be good news to us in the EPL next season and beyond until our own Klopp leaves in 2024.
ila tunahitaji ku freshen up our squad kwa kweli. we need:
- an attacking midfielder in Eriksen's mould
- a wide man in the shape of Traore (comp. to Salah/Mane)
- a CF in the mould of Harry Kane/Aguero (to challenge Bobby).
Mimi ni shabiki wa Manchester city , Atletico, na Watford watoa bikra na Chelsea piaYani we Jamaa nikiyaangalia unayoyaandika basi kama wewe ni Manure au Arsenane nitakushangaa sana
Duh kuvurugwo mkuu... Shot 34 on target 11..Hii takwimu ya 35 shots on target umeitoa wap mbona unaongeza chumvi isiyo na msingi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
πππππππππTunashukuru ndugu..Mnyonge mnyongeni ila haki yake mmpeni....jana liver mmepiga soka haswa, mlikua mnajua mnachotafuta..yaani mlinikabia watu mpaka mwenyewe nikachukia, game mliitawala vizuri sana.
naweza kusema bahati haikua yenu kwani kulikua kuna uwezekano wakupaikana magoli zaidi ya matatu..uwezo wenu ulikua unawatetea kupata ushindi mnono tu. Athletico Madrid alikua ameishiwa na mbinu..mchezaji pekee aliyekua akionekana ni kipa wao tu (hapo ni ndani ya dkk 90 za mchezo).
Baada ya kupata goli la kuongoza, mchezaji mmoja akaja kuwaangusha (kipa wenu Adrian) huyu ndio aliteondoa spirit yote ya ushindi kwa wachezaji na hata mashabiki wa liver..jana mlikosa kipa tu wadau..wala hamna sijui cha foward mbovu au beki mbovu kikosi jana kimepiga kazi haswa kwanzia foward mpaka mabeki wamekaza haswa..ndio maana walipata na goli la kuongoza..kidogo Sala alikua anazingua wengine sijaona mapungufu yao.
Mimi sio shabiki wa liver ila liver bado naipa heshima yake kama timu yenye kikosi bora..kosa la mtu mmoja haliwezi kuifutia heshima timu nzima..Kwa mpira mlioupiga jana mnastahili pongezi japo hamkushinda.
Big up sana liverpool.
siipendi timu..nimependa soka lililopigwa jana..kama imekuuma chomoa uvae uondoke.sawa naona ni team ya bwana ako hii lazima uipende tu