Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

This is anfield
Screenshot_20200312-015029.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeielewa ile kauli ya Ngwaba kwamba Karius ni bora kuliko adrian

Nilisema mara nyingi sana maneno haya lakini nilipingwa kwa kigezo cha kuwa Adrian katupatia Super Cup.

Yani hii Criteria ya kupima uwezo wa mchezaji kwasababu tu Timu imeshinda Kombe utadhani huyo mchezaji hilo kombe alikwenda pekeyake uwanjani na kulileta Klabuni imewamislead wengi sana.
 
Hao ndio ATM wana roho ngumu ,bao moja kama la nguruwe poleni majirani naona sasa hivi Turubai mlishalizoea.Naona ndio msumali ushawachoma kotekote..................😀😀😀
 
Nilisema mara nyingi sana maneno haya lakini nilipingwa kwa kigezo cha kuwa Adrian katupatia Uropa.

Yani hii Criteria ya kupima uwezo wa mchezaji kwasababu tu Timu imeshinda Kombe utadhani huyo mchezaji hilo kombe alikwenda pekeyake uwanjani na kulileta Klabuni imewamislead wengi sana.
kumbe mlichuku Europa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom