Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Henderson hiyo mechi hatakiwu kuanza ila awepo Tu kwenye benchi kuna Hali flani(mzuka) itaongezeka Kwa wenzake wataoanza hasa kutokana na hii ya kuonekana bila yeye tumefanya vibaya...mfano kuna mechi Uruguay ilicheza na ...,(sikumbuki) Suarez hakuwa fit ila akawepo Tu nje anapasha misuli mpaka mechi ikaisha ila iliyofuata alianza Vs England na akatupia mbili..Kwa tuliocheza kidogo chandimu tunaelewa ile Hali ya mchezaji flani tegemeo akiwepo siku hiyo baada ya kutukuwepo kitaa mda mrefu inavyokuwa...

USHAURI HATA HENDERSON AKIWA FIT SIKU HIYO ASIANZE KWANZA PRESHA ITAKUWA KUBWA SANA NA ATABORONGA AINGIE SUB..
Jürgen Klopp says that Jordan Henderson and Andy Robertson "should be possible" to face Atletico Madrid in midweek.
The boss said: “Hendo will train today, that looks good, and Robbo should not be a problem."
YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Henderson hiyo mechi hatakiwu kuanza ila awepo Tu kwenye benchi kuna Hali flani(mzuka) itaongezeka Kwa wenzake wataoanza hasa kutokana na hii ya kuonekana bila yeye tumefanya vibaya...mfano kuna mechi Uruguay ilicheza na ...,(sikumbuki) Suarez hakuwa fit ila akawepo Tu nje anapasha misuli mpaka mechi ikaisha ila iliyofuata alianza Vs England na akatupia mbili..Kwa tuliocheza kidogo chandimu tunaelewa ile Hali ya mchezaji flani tegemeo akiwepo siku hiyo baada ya kutukuwepo kitaa mda mrefu inavyokuwa...

USHAURI HATA HENDERSON AKIWA FIT SIKU HIYO ASIANZE KWANZA PRESHA ITAKUWA KUBWA SANA NA ATABORONGA AINGIE SUB..

Sent using Jamii Forums mobile app
Henderson is not a creative mido, he is good kuweka nidhamu

We need crazy football to unlock atleti, not compact disciplined team

He can only join after we are leading
 
IMG_7934.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi klop hamuoni fabinho yuko out of form ampumzishe he is the weakest link kwenye mido yetu kwa sasa.pembeni na hendo kutokuwepo lakini as a holding mid anakimbia kimbia tu as headless chicken ni time sasa yakumuweka hata gini as holding kama hendo atakuwa bado injured. Na atletico tukicheza jinsi tunavyocheza resently tutakula nyingi sana. Kwa staili tunayocheza defence yetu iko soo exposed jana kama isingekuwa mili goli lingesharudi. Ni time sasa ya kushift kwenye 4-2-3-1 mweke mili na gini as 2 holding alafu mbele yao mweke ox/bobi/mane alafu upfront akae salah

flexibility muhimu, naona wapinzani wanajua tutacheza vipi na sisi tunajua kiasi kuhusu wao au vipi sijui yaani.

muhimu epl though

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Since 2017

Salah
G - 100
A - 24
Chances Created - 39

Mane
G - 90
Assists - 14
chances created - 23

Firmino
G - 100
A - 20
Chances Created - 28

How the FVCK he is selfish, he doesn't pass.
while, he has more assists & has created more big Chances than any other player for us

Credit: The_Gerrard_Era on Twitter
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom