Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yaani umenifanya nicheke Kwa nguvu,wewe Kamala akil zako unazijua mwenyewe aisee
Braza MosDef tukiweka usgabiki pembeni, napenda sana kujua kuongea na kuandika vizuri hii lugha pendwa ya kimataifa ..ili nijue kuongea na kuandika kingereza kama wewe nifanyeje..

Nipe mbinu nipe mbinu ulizotumia mkuu kuweza kufikia uwezo hu wa kuandika na kuongea vizuri bro ..

Yani ulifanyaje na ulichukua muda gani

Sent using Jamii Forums mobile app

Rathi Thimba anakuhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusukumwa ni kweli kasukumwa lakini hakupaswa kutegemea kwa Refa kiasi kile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom