Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Let me put this straight ...

Liverpool are the first team in English top-flight history to win 22 consecutive home games, breaking their own record!!

Kwa wale wabishi wasiojua Kiingereza, Liverpool ndo timu ya kwanza na pekee Uingereza ligi za juu kushinda mechi 22 mfululizo akiwa nyumbani. Na hapo amevunja rekodi yake mwenyewe.

GEET IINNN!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umefafanua maana wangeanza kulalamika eti tukishinda tunaanza kuongea Kigalatia.
 
Liverpool mmepotea asee. Kuna goli mmefunga ambalo mmelicreate wenyewe bila makosa ya Bournemouth.

Naona mnaanza kupoteana. Wachezaji wapo wapo. Ake angekaza vizuri mbona ingekuwa droo, kwa hii run mjipange UEFA au next season vizuri kwa signing.

Man U fan
"Bila makosa ya Bournemout" like serious mjuzi wa mpira unasema kauli kama hii? Jua kwamba kila goli kwenye mpira limesababishwa na kosa ama makosa. Mpira ni mchezo wa makosa na yule anayetumia vema makosa ama upungufu wa mweziwe ndiye hushinda ... kwani wao wangepata hilo moja bila makosa tulofanya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemuona Klopp baada ya mechi thumping his chest and appreciating the fans..

This win today means more kwa kweli heading to face Alet the stage has been set...

We defended well, had a few shot on target.. We have been missing that previously..

We are heading back to our winning ways..

Congrats to Salah to score his 20th goal of the season today and boy has reached that mark in each season since he joined...well that is class

Grandpa Millie with a save of the season lol...

Alet welcome to Anfield don't say you were never told...

YNWA
Still some clueless headless chicken will say Salah was a one season wonder. 20+ goals a season for 3 consecutive seasons ni flop? Itabidi tuwaulize wanatokea sayari gani.
 
Liverpool mmepotea asee. Kuna goli mmefunga ambalo mmelicreate wenyewe bila makosa ya Bournemouth.

Naona mnaanza kupoteana. Wachezaji wapo wapo. Ake angekaza vizuri mbona ingekuwa droo, kwa hii run mjipange UEFA au next season vizuri kwa signing.

Man U fan
Unashabikia timu gani

Maana tumezipiga zote aieee
 
IMG_7932.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Still some clueless headless chicken will say Salah was a one season wonder. 20+ goals a season for 3 consecutive seasons ni flop? Itabidi tuwaulize wanatokea sayari gani.
Salah is really a blessing to have joined us man and at a bargain price.. You don't get those numbers on that cheap price nowadays kaka...

Boy has hit number quicker than Surez, Torres nk and that is pure class bro.. Anyone calling a flop might be having Mars dictionary sio hii ya sayari yetu...

If we were to sell Salah now itakua around £150m or more and that is not the price paid for flops man...

3 games to win the EPL... Man what a feeling this will be...

Salah and the boys are just humans kuna siku they are off gear and it's just one of those days in the job and the earliest they shake that off the better we are just like today response even when we were behind the fans pushed them and they reacted nicely cool 3 points won with our two African Prince on targets...

YNWA
 
Still some clueless headless chicken will say Salah was a one season wonder. 20+ goals a season for 3 consecutive seasons ni flop? Itabidi tuwaulize wanatokea sayari gani.

Our own Fans said this "Swap Salah with Adama Traore"
"Sell Salah and bring back Harry Wilson to replace him"...
And more bullshit..
I'm repeating again "Salah is our goal machine"
20+ goals kwenye three consecutive seasons!!! What a player!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom