Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

If you want Sancho over this dude, you clearly dont know footie.



Sent using Jamii Forums mobile app
Anahitaji viongo wabunifu ndo ataonekana vizuri anakasi na anajua kujipanga golini.

Najiona kabisaa hapa sijui mpira mana nionavyo mimi anaingia mara mbili kwa Sancho

Sancho anajua mpira anafiti kwenye team nyingi kwa huyu nazani mfumo unamsaidia zaidi
 
Unless Grujic wants to continue to be a backup dancer kwa Gini & Hendo, i cant see him staying put at LFC or accepting another loan deal.


Henderson & Gini, especially Henderson bado wana muda kidogo wa kuendelea kuwepo kwenye first team (i can see Gini in 2 years time, hata kama aki-sign his new deal (hoping we will good news about his new deal soon)..

So Grujic, ku-break in kwenye MF itakuwa ngumu, especially a title winning MF.


We really need a central attacking MF, (below 24 years)..

The squad is ageing man, tuna few players ambao ni below 25 now, most of our players are 27+ na wako kwenye their peak years (Mo, Mane, Firmino, Gini, Henderson, VVD, Matip etc)..Faby/Keita/Gomez/Trent ni baadhi tu ya wachezaji ambao watakuwa hawajahit 30 mwaka 2024 kipindi ambacho Klopp atakuwa anaondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha don't say about the age bro it's tricky... Beside his big ego one of the issues that failed famous Shankly was his aging squad whom were loyal but with tired legs and he felt he owed them big thus reluctant to sign young legs even Paisley thought otherwise the Scottish fellow didn't see its that way and we know what's happened next..

Rebuilding gradually as our main team do age is the only way to be competitive man hilo hatukwepi kamwe, once players hit 27ys and above thier intensity and sprints becomes an issue sasa ukiwa EPL ndio balaa zaidi... I have fully trust in Edwards know how in the market man..

Nilisoma we did bid for Chukweze in Jan but his club didn't have enough time for replacement...

GINI bado ana buy his time to sign but he will sign at least two years and Hendo nae miaka miwili yumo so pale kati panahitaji fresh legs around 22 to 25yrs...

Grujic we might get 15 to £ 20m so that will reinvested back to the club...

So for the next 3 Windows za usajili Klopp will have to be smart man...

Werner is a good start young and ready to go...

YNWA
 
Preparing a piece on how we will beat ATM at Anfield.


Will upload it on Monday..


Y'all remember when oliver bond anaanzisha his Anfield HQ page?, well nakumbuka alikuwa anatumia kigezo cha ku-invite freelance writers kuandika articles/pieces kuhusiana na club/players/targets etc, so niliandika my piece about Suarez & umuhimu wa kuhakikisha anabaki at LFC, nikaituma through his email, but few days later nikaiona ikiwa imebadilishwa baadhi ya vitu (ili kusiwe na doubts), then kibaya zaidi credited writer akawa mwingine kabisa..haha back in 2014 i was still a "little" dude, so kama ilivyo kwa "little" dudes wengi nikaona kama nimedhulumiwa bonge ya haki (lol), ukichukulia Oliver bond was just a "little" kid too, so niliona kama kaniibia Kazi (hahah), nikaanza kudai kazi, it didnt even take time, he blocked me kila sehem, then he blocked me kwenye his official Anfield HQ page..(man, 6 years zimepita haha)..

So, baada ya hapo, Anfield HQ ilikuwa na kuendelea kuwa kubwa, wakaanza mpaka kupata official interviews na players/allowed kuingia Melwood for match pressers etc, Oliver akaanza kuaminiwa sana na local jornos and other big outlets, so akawa anapata a lot of exclusives especally kwenye transfers, to tell you how big he was, ndiye alikuwa wa kwanza ku-break habari za Klopp kukutana na VVD kule blackpool, alizitoa through his twitter page, (y'all remember kilichotokea baada ya hii habari kuvuja)..


Bwana wee, alivyoanza kuingiza pesa, dude akalewa sifa, mwisho wa siku akaingia kwenye mtego wa The Sun, scousers walivyojua anajihusisha na The sun, ikawa balaa, wakaanza kumuandana kupitia twitter, it was hectic, ukiachana na kuwa alikuwa anajihusisha na The Sun, pia ni Londoner (so kwa scousers, jamaa alikuwa ni outsider), so ilikuwa pia inawaumiza scousers (especially ITKs & freelance reporters) kwa londoner kuwa na bigger following with a lot of exclusives, so Oliver akafuta his twitter account & akabadilisha Anfield HQ kuwa The Anfield Watch (kuna jamaa humu, huwa anashare sana posts zao)..

Well, I'd say he built an empire back then, so its so hard kwa Anfield Watch kupotea, they're still doing good but not kama mwanzo, watu wengi sana wanaogopa ku-share their pieces na wao now, as wanaogopa noises za scousers.

Personally, i've got no grudges kabisa na jamaa, article ambayo sikuwa credited haikuwa monetized kabisa, so sikuwa napata chochote, but "nili-mind" sababu ya umri tu kipindi kile, hahhaha, naona posts za Anfield watch everywhere now, people are sharing them & are enjoying them, bado wanapata hate comments kutoka kwa scousers but unfortunately LFC ni global club, so bado wana backing nzuri..


Anything related na The Sun is not welcomed at Liverpool FC, ni very sensitive matter but to be honest, i care a lot about Hillsborough issue (as a Liverpool Fan), & as a pérson i care a LOT kuhusiana na matter yeyote inayohusiana na kuhatarisha/kumaliza maisha ya binadam yeyote hapa duniani, BUT Godforbid leo itokee disaster kuhusiana na derby ya Simba Vs Yanga na kuumiza/kukatiza uhai wa watu uwanjani, sidhani kama scousers will care more kama MIMI nitakavyocare kuhusiana na hiyo disaster, & thats the art of life, so personally i care & respect ishu ya hillsborough as a human & LFC fan, but siwezi kuwa sensitively touched kama scousers & their families, same kama wao ambavyo hawatakuwa touched na kuhusiana na disaster za Tanzania (facts), same can apply to Londoners, and other parties of Europe/Asia/Africa etc..so kuona kuwa Oliver Bond career got destroyed kwasababu ya kujihusisha na The Sun, inaumiza kidogo, dude was going at the top (very)..angekuwa even bigger now, but scousers had to find a way to stop his progress.



Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh kumbe wazungu nao 'majizi' 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️....

All the best now you ain't that small boy...

Go mate sky is the limit..

YNWA
 
I understand you brother..


Its all about opinions.



At the end of day, we all want the same outcomes for our beloved Club.


Up the mighty Reds.

Sent using Jamii Forums mobile app
Braza MosDef tukiweka usgabiki pembeni, napenda sana kujua kuongea na kuandika vizuri hii lugha pendwa ya kimataifa ..ili nijue kuongea na kuandika kingereza kama wewe nifanyeje..

Nipe mbinu nipe mbinu ulizotumia mkuu kuweza kufikia uwezo hu wa kuandika na kuongea vizuri bro ..

Yani ulifanyaje na ulichukua muda gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You have £6 to pick the perfect Midfield trio,Whoare you picking?
Xavi £3
Iniesta £3
Kaka £3
Pirlo £3
Zidane £3
De Bruyne £2
Scholes £2
F.Lampard £2
Riquelme £2
S.Gerrard £2
Makelele £ 1
Kante £1
Viera £1
Roy Keane £1
Busquest £1.
Busquest, Riquelme, Gerrard...

YNWA
 
Adrian???

Yule aliyelisindikiza goli la Chelsea au?

Vs Aetico akikaa golini Adrian nitalala mapema sana bila ya kujisumbua kuangalia game.

Karius ni >>>>>>>>>>>> Adrian
Duuh wewe King lol... Adrian Karius you are kidding man..

What's of Fabby alietoa assist kwa Willian...

Nwa huyu jamaa binafsi namkumbali kama back up..

Tumepata Super Cup Kwa jitihada zake..

Tangu amejiunga nasi amefungwo mechi 2 katika mechi 16 alizocheza tangu amejiunga nasi...

Amefungwa 2 na Napoli na juzi 2 na Chelsea..

Mechi alizocheza EPL ni 10 na hatukupoteza hata moja.. Man this Spanish anastahili heshima yake..

Akiwa golini tumepata pointi 30 za EPL..

Lets appreciate our heroes guys...

YNWA
 
Ukiwa na timu mbovu inayofungwa mara kwa mara huwezi kuwa na maadui. Mfano wa Man Utd Arsenal na Chelsea; kwa nini uwachukie?

Ukiwa unafanya vizuri sana lazima utengeneze maadui. Hakuna mpinzani anayependa kuona mwenzake anashinda kila mara.

So, chagu moja; ufanye vizuri uwe na maadui au uwe average au below usiwe na maadui.
Huo ndio uchawi.
 
Boys has sweet leftie man...

Quick, enthusiastic and a true baller...

YNWA
Dogo mtam nguvu tu aongeze.

Talent hizi hatuna sijui kocha ndo hapendi?namba sita inayo tembea na mpira verati Ndombele

Kama ni ngumu sana kwa Sancho basi Hervit na Catwell waje wachangamshe kaka zao.

Wener mwepesi tu kumpata mana wenye team wanataka pesa.
 
Liverpool’s last 5 Premier League matches vs Bournemouth:

19/20 (A): BOU 0-3 LIV
18/19 (H): LIV 3-0 BOU
18/19 (A): BOU 0-4 LIV
17/18 (H): LIV 3-0 BOU
17/18 (A): BOU 0-4 LIV


YNWA
_-20200307-0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh wewe King lol... Adrian Karius you are kidding man..

What's of Fabby alietoa assist kwa Willian...

Nwa huyu jamaa binafsi namkumbali kama back up..

Tumepata Super Cup Kwa jitihada zake..

Tangu amejiunga nasi amefungwo mechi 2 katika mechi 16 alizocheza tangu amejiunga nasi...

Amefungwa 2 na Napoli na juzi 2 na Chelsea..

Mechi alizocheza EPL ni 10 na hatukupoteza hata moja.. Man this Spanish anastahili heshima yake..

Akiwa golini tumepata pointi 30 za EPL..

Lets appreciate our heroes guys...

YNWA

Brother Kama tutamjudge mchezaji kwa criteria hiyo then hatunahaja ya kumlaumu Karius kwa kufungwa Finali ya CL coz niyeye ndiye aliyepigana na kutufikisha Fainali ya CL.

Na niyeye Karius aliyetupatia points za kuingia Top Four na ilapelekea kupata nafasi ya kucheza CL na tukabeba Kombe.
 
Liverpool’s last 5 Premier League matches vs Bournemouth:

19/20 (A): BOU 0-3 LIV
18/19 (H): LIV 3-0 BOU
18/19 (A): BOU 0-4 LIV
17/18 (H): LIV 3-0 BOU
17/18 (A): BOU 0-4 LIV


YNWAView attachment 1379761

Sent using Jamii Forums mobile app

Ushindi wa leo ni muhimu kuliko kitu chochote kile kwenye soccer.

Leo tushinde ili turudishe morali kwa wachezaji.

#YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom