Preparing a piece on how we will beat ATM at Anfield.
Will upload it on Monday..
Y'all remember when oliver bond anaanzisha his Anfield HQ page?, well nakumbuka alikuwa anatumia kigezo cha ku-invite freelance writers kuandika articles/pieces kuhusina na club/players/targets etc, so niliandika my piece about Suarez & umuhimu wa kuhakikisha anabaki at LFC, nikaituma through his email, but few days later nikaiona ikiwa imebadilishwa baadhi ya vitu (ili kusiwe na doubts), then kibaya zaidi credited writer akawa mwingine kabisa..haha back in 2014 i was still a "little" dude, so kama ilivyo kwa "little" dudes wengi nikaona kama nimedhulumiwa bonge ya haki (lol), ukichukulia Oliver bond was just a "little" kid too, so niliona kama kaniibia Kazi (hahah), nikaanza kudai kazi, it didnt even take time, he blocked me kila sehem, then he blocked kwenye his official Anfield HQ page..(man, 6 years zimepita haha)..
So, baada ya hapo, Anfield HQ ilikuwa na kuendelea kuwa kubwa, wakaanza mpaka kupata official interviews na players/allowed kuingia Melwood for match pressers etc, Oliver akaanza kuaminiwa sana na local jornos and other big outlets, so akawa anapata a lot of exclusive especally kwenye transfers, to tell you how big he was, ndiye alikuwa wa kwanza ku-break habari za Klopp kukutana na VVD kule blackpool, alizitoa through his twitter page, (y'all remember kilichotokea baada ya hii habari kuvuja)..
Bwana wee, alivyoanza kuingiza pesa, dude akalewa sifa, mwisho wa siku akaingia kwenye mtego wa The Sun, scousers walivyojua anajihusisha na The sun, ikawa balaa, wakaanza kumuandana kupitia twitter, it was hectic, ukiachana na kuwa alikuwa anajihusisha na The Sun, pia ni Londoner (so kwa scousers, jamaa alikuwa ni outsider), so ilikuwa pia inawaumiza scousers (especially ITKs & freelance reporters) kwa londoner kuwa na bigger following with a lot of exclusives, so Oliver akafuta his twitter account & akabadilisha Anfield HQ kuwa The Anfield Watch (kuna jamaa humu, huwa anashare sana posts zao)..
Well, I'd say he built an empire back then, so its so hard kwa Anfield Watch kupotea, they're still doing good but not kama mwanzo, watu wengi sana wanaogopa ku-sare their pieces na wao now, as wanaogopa noises za scousers.
Personally, i've not grudges kabisa na jamaa, article ambayo sikuwa credited haikuwa monetized kabisa, so sikuwa napata chochote, but "nili-mind" sababu ya umri tu kipindi kile, hahhaha, naona posts za Anfield watch everywhere now, people are sharing them & are enjoying them, bado wanapata hate comments kutoka kwa scousers but unfortunately LFC ni global club, so bado wana backing nzuri..
Anything related na The Sun is not welcomed at Liverpool FC, ni very sensitive matter but to be honest, i care a lot about Hillsborough issue (as a Liverpool Fan), & as a pérson i care a LOT kuhusiana na matter yeyote inayohusiana na kuhatarisha/kumaliza maisha ya binadam yeyote hapa duniani, BUT Godforbid leo itokee disaster kuhusiana na derby ya Simba Vs Yanga na kuumiza/kukatiza uhai wa watu uwanjani, sidhani kama scousers will care more kama MIMI nitakavyocare kuhusiana na hiyo disaster, & thats the art of life, so personally i care & respect ishu ya hillsborough as a human & LFC fan, but siwezi kuwa sensitively touched kama scousers & their families, same kama wao ambavyo hawatakuwa touched na kuhusiana na disaster za Tanzania (facts), same can apply to Londoners, and other parties of Europe/Asia/Africa etc..so kuona kuwa Oliver Bond career got destroyed kwasababu ya kujihusisha na The Sun, inaumiza kidogo, dude was going at the top (very)..angekuwa even bigger now, but scousers had to find a way to stop his progress.
Sent using
Jamii Forums mobile app