DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Eti Crystal Palace nao wanadai eti mechi yao na Liverpool inachelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hili unalosema ni kweli ila halifuti ukweli kuwa Kwa kipind hiki tunamiss kike kiwango cha Henderson na uongozi wake pale Kati..
Kufunguwa hata Napoli alitufunga kipind tupo fresh Tu so tusifanye kigezo cha kufunguwa na ATM ndio sababu ya kutoona mchango wa Henderson....
Kwa yyt hasiye na unafiki basi anaweza kuona Henderson anakosekana na kusema kuwa tunakosa Sana Sana Sana mchango wake sio kumoverate Bali ndio ukweli huo.hata kama mchungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti Crystal Palace nao wanadai eti mechi yao na Liverpool inachelewa
Sent using Jamii Forums mobile app


saiz hata arsenal anawasubiri kwa hamu Hitimisho la busara lisilo na chembe ya unafiki wala ushabiki.Wewe upo sahihi asilimia 100%
Mosdef pia yupo sahihi asilimia 100%
SABABU:
Mosdef: Anamaanisha kufungwa kwetu si sababu ya kutokuwepo Henderson.
Anasema hata Henderson angekuwepo basi Watford na Chelsea wangelitufunga tu.
Na ndiyomana ametoa Mfano kuwa hata tulipocheza na ATM tulifungwa tukiwa na Hendo.
Na sababu yake kubwa ni kwamba Timu nzima inacheza chini ya kiwango kipindi ambacho huwa kinatutokea kati ya DEC - FEB.
Wewe: Umezungumzia kuwa kumkosa Henderson pengo lake linaonekana jambo ambalo ni kweli.
CONCLUSION:
Pengo la Henderson lipo na linaonekana.
Kufungwa kwetu ni kwasababu ya Timu/Wachezaji kuwa off form kwa kipindi hichi cha mpito.
Kumbe bado tunao hao jamaa....Eti Crystal Palace nao wanadai eti mechi yao na Liverpool inachelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaa hopefully we will have our mojo back mpaka twakutana nao...
Mkuu ni mapema sana kuyaona hayo...kwaninacho kiona klopp hatamaliza mkataba wake mpya ...huyu jamaa huwa hamalizagi kuna dalili tosha akaachia ngazi 2022.
Id yako ni utambulisho tosha wa kupim akili yakoAs it stands kwa sasa pale uingereza.
Manchester united UNBEATEN last 9 GAMES.
Hens of the city ( Liverfools) last nine games are beaten 3 consecutive games.
Hahaha vibonde Simeone na atletico unakuja kuchinja kuku hapo anfield na ole wenu mbishe.
And as it stands na hiyo unbeaten yako una uhakika wa kushinda kombe gani? La top 4?As it stands kwa sasa pale uingereza.
Manchester united UNBEATEN last 9 GAMES.
Hens of the city ( Liverfools) last nine games are beaten 3 consecutive games.
Hahaha vibonde Simeone na atletico unakuja kuchinja kuku hapo anfield na ole wenu mbishe.
Mpo nafasi ya ngapi?.......tuanzie hapoAs it stands kwa sasa pale uingereza.
Manchester united UNBEATEN last 9 GAMES.
Hens of the city ( Liverfools) last nine games are beaten 3 consecutive games.
Hahaha vibonde Simeone na atletico unakuja kuchinja kuku hapo anfield na ole wenu mbishe.
Ni rahisi Liverpool kuvunja mkataba na si Klopp ...... sheria ya mikataba anaevunja anatakiwa kumlipa thamani ya mkataba walioweka nae mkatabakwaninacho kiona klopp hatamaliza mkataba wake mpya ...huyu jamaa huwa hamalizagi kuna dalili tosha akaachia ngazi 2022.
Saa nyingine mkataba huvunjwa kwa makubaliano na pasipo kuwa na sharti la kulipana.Ni rahisi Liverpool kuvunja mkataba na si Klopp ...... sheria ya mikataba anaevunja anatakiwa kumlipa thamani ya mkataba walioweka nae mkataba
Akivunja mkataba 2022 ni Club inayomtaka akawe kocha ndio itatoa hela ya kuvunja mkataba ina , maana kama analipwa £200k kwa Wiki inamaana atalazimika kuilipa Liverpool zaidi ya pauni milioni ishirini kitu ambacho sidhani kama kuna mchezaji au kocha hata kama analipwa vizuri atakubali alipe hiyo hela kisa tu anataka kuondoka
Sent using Jamii Forums mobile app