Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

fikra za kuchukua ubingwa bila kufungwa mlikuwa nazo hasa,sema limetokea hili kama ajali tu.....
Tulia kijana onyesha sehemu mie binafsi nimesema tutamaliza bila kufungwa? sasa tizama watavyocheza mpira ule unaotakiwa wa Mane,Firminho,Salah kule mbele sasa timu ipo free wakati tunaenda kubeba Kombe nyie mtaendelea kushindana na Burnley msahau kusikia Kombe La Uefa sehemu rahisi la kuliona nyie karibia labda nendeni Stamford Bridge!
 
Kikubwa kombe, tumelimiss sana mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Klopp namuaminia sasa wachezaji utaona mpira ule wa malizia LFC safari hii walikuwa wanacheza Mpira nyuma sana Dyk na wenzake na mabeki wa pembeni na kunyanyua mpira ndomana ikitokea goli basi ni yale ya imesobdoshwa moja bao sasa hivi nyuma watatulia game itachezwa na Midfield then washambuliaji katika wale watatu game kama tatu utaona kati ya hao wawili anafunga magoli mawili sasa hivi kama wamechokozwa vile.
 
Siku ya Kubeba Kombe la EPL haya maumivu ya Leo yote nitayasahau
tulia usijali haya Klopp aliyajua yanaweza kutokea kupiteza hata game tatu ila hakutegemea kwa Watford safari hii tulikuwa tunashinda ila kwa tabu sababu players ndio walianza fikra nao za kucheza kwa kutotaka kupoteza, ndomana mpira unakuwa pasi za taratibu sana na zinakuwa kwa mabeki then beki wa pembeni, LFC kuanzia sasa hivi ni watakuwa zinarudi zile killer pass na speed! na kujaribu kumpima kipa. uzuri game ni 10 na Anfield sahau mtu kushinda so away tukishinda game tatu tu na home zote unaelewa hapo.
 
Yaani umuuze Salah au Mane afu umlete Timo Warner?! Huku ni kuchanganyikiwa na kipigo au?
 
Partnership ya VVD na Lovren kamwe haiwezi zaa matunda na sababu ni very simple - hamna wa kusema amtazame mwenzake kama kiongozi, kila mtu ni fahari ndani ya zizi. VVD anaweza mtuma Gomez, akatii, yeye akawa wa mwisho kufanya clearance. Gomez looks at VVD as a model - somebody to listen and watch - hivyo kunakuwa na cohesion. Zaidi, Gomez ana kasi, akili na utulivu (he plays with heart and mind).

Overall timu haikuwa katika kiwango kizuri. Pengine ni fatigue, hatuwezi tegemea wacheze kiwango kimoja all days in and out.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Well said kop

Napigia msumari kabisa
 
Yaani umuuze Salah au Mane afu umlete Timo Warner?! Huku ni kuchanganyikiwa na kipigo au?
umesoma ukaelewa mkuu?...... nilidhani ungekosoa hoja niliyoiweka na sio jina la mchezaji niliemtaja maana huyo nimemtaja kwa mtazamo wangu!

hoja ya msingi ni front 3 yetu iletewe damu mpya, tukibaki na hawa hawa watatu next season tutakwisha!..... wameshapeak, there is nothing more they can do!


N.B/ baada ya kubeba ndoo ya epl, mastar wetu wengi watakua wametimiza ndoto yao kuu (epl+ucl)..... unadhan kuna nini kitawafanya wawe motivated?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…