Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Hakuna ninachoweza kujifunza kutoka kwako! If you think you're teaching me a lesson basi you are wrong...

Nothing I can learn from you... Narudia tena you are nothing to me! Kukupuuza wewe doesn't mean I've learnt something from you! I'm who I am, I do what I wanna do.

If you are using your brain instead of your shit you'll find out kwamba Mimi kuamua kukuignore wewe means huna faida yoyote kwangu.

Bora ungenyamaza tu usijiproud kwa kitu kilichokuwa hakipo.

Hebu juwa kupuuzwa.
 
Huyu ni Nyuki?

No mzee ni mavu jamii ya nyingu ila ana madoa ya njano kama umewahi kumuona.

Ndio anaitwa Hornet nickname ya Watford hata jezi zao wamechukua rangi ya mdudu huyo.

Kama Newcastle walivyochukua Rangi ya ndege Magpies ambao ni nickname yao.
 
He....mumekuwa kama Yanga sasa ,Malalamiko fc .......sasa kwanini na wewe usingekaa nyuma wote 11 ili usipigwe 3 buyu?
We kubali ulishindwa mbinu na watoto wa mjini.....kuzuia ni sanaa,sio kila mtu anaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mashabiki wa Makundi 2

1) Wale Wanaoona kutokuwepo kwa Hendo ndiyo sababu ya Timu kuborong

2) Wale wanaoona ni overall performance ya Timu ipo chini ndiyosababu ya Timu kuboronga.

Third, Fourth or more groups are negligible.

But narudi tena kwenye stats, Mimi ninachoamini ni kuwa number don't lies.

Without stats no real football.

Tuanze kuangalia hapa ili tujuwe kama hizo sababu za hayo makundi mawili ni sahihi or just ni emotions tu.

1) Tulicheza na ATM tukiwa na kikosi kamili! Henderson in, Lovren kwenye bench.
But tulifungwa na tukatoka na ZERO SHOT ON TARGET.

2) Tukacheza na West Ham without Henderson, na Lovren alikuwa Benchwarmer, but tuliconcede 2 goals, tulishinda hiyo game with 7 ON TARGET.

3) Tumecheza na WATFD bila ya Henderson, but Lovren alikuwemo uwanjani! Tumefungwa 3 - 0, tukipiga only ONE ON TARGET.

Katika michezo 3 tumepiga On Target 8 tu kwa ratio ya 2.67 per game.

Je hapa hatuoni kuwa hata kwenye Front 3 yetu kuna tatizo?
Kwanini tunainyooshea kidole Mido na Defence tu?

Hivi kinachomaanishwa ni kuwa Front 3 yetu ni untouchable?
Au bado Watu wanaendelea kulishana matango pori kuwa hakuna mchezaji anayeweza kupata namba mbele ya Front 3 yetu?

Mimi nadeclair wazi kuwa Front 3 yetu ni nzuri lakini ni OVERRATTED.

uwezo wao ni wa kawaida isipokuwa Klopp system ndiyo inayofanya kazi, Wako sahihi wanaosema mchezaji kama Firmino ni System player ambaye nje ya Klopp system anakuwa exposed.

Nimeyaandika haya ili kuonesha kuwa hakuna haja kumnyoshea kidole mchezaji mmoja mmoja bali tatizo ni kwamba Timu nzima ina underperform huo ndiyo ukweli.

Naamini tutarejea kwenye Form but tuwe wastahamilivu.
 
Upo sahihi mzee,kiukweli mimi naamini wachezaji hawa wanasumbuliwa na fatique......maana wametumika almost msimu mzima kupumzika kwao ni pale wanapokuwa majeruhi tu,na mchoko huu wameupata katika nyakati ngumu za ligi,nyakati ambazo kuna vita kuu mbili,
1.Kuna wale wanaojikwamua kushuka daraja.
2.Kuna wale wanaopambania big4.


Jambo la kushukuru hapo ni kuwa mmeshajihakikishia ubingwa lakini kama kungekuwa na gape la points 5 au 6 hata huu ubingwa wenyewe ingekuwa ngumu sana kuuongelea.



NB:Halisi tupo msitusahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukweli ambao wengi hatutaki kuukubali ndio huo mkuu........

kwenye defence timu yetu ni bora sana kuliko karibia timu zote ulaya, kwenye mido timu yetu 'haina shida' sana , tatzo kidogo ninaloliona ni 'kukosekana kwa keita'......hivyo tumekosa link kati ya mido na fowards!

kule mbele sasa ndio tatizo lilipo, japo wengi huwa tunavunga hatulioni ila lipo sana!..... kule mbele timu haina plan b, haina mtu wa kutokea bench!

kwangu mimi hapa tulipofika, kati ya salah na mane mmoja ikija offer nzuri auzwe then wanunuliwe wawili wenye ubora (proven, timo nadhan ni mmoja wapo) na mwingine wa kutupa plan b!


case ya keita ni pasua kichwa, it hurts aisee!.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…