Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

rekodi gani unayoizungumzia wewe?
ya city wameifikia hawajaivunja,ya Arsenal hata kuifikia hawajaifikia....labda kama rekodi ya kupigwa 3-0 na Watford katika tarehe 29february ambayo sidhani kama mwakani itakuwepo hivyo itawasahaulisha katika kufanya kumbukizi ya huu msiba.
 
Yani naona kuna wendawazimu nawasoma wanawacheka liverpool kufungwa, mimi ni man utd lakini sidhubutu kumcheka, wengine hapo timu zao zimetolewa europa wanaugulia maumivu, na wengine hapa ni mabingwa watetezi wa epl iliyopita wanafurahi na wanajua ya kwamba epl ya mwaka huu hawachukui, wengine hapa ni barca wanawacheka liverpool sababu wanakumbuka kipigo cha mbwa mwizi uefa iliyopita na zaidi wanajua ubingwa hispania hawachukui na uefa hawachukui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahio unafurahia kinyama kwamba rekodi hazijavunjwa ...jana hamjagawa bia za bure kweli mana sio kwa furaha hii
Wewe unashika nafasi ya ngapi ligi kuu epl tuanzie hapo kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ongea yote ,ita watu wendawazimu lakini maneno yako hayatavunja furaha yangu ya rekodi yangu ya kutokufungwa katika msimu wote wa ligi.....wewe nyumbu huna hata sababu ya kucomment hapa ungetulia tu mbugani.
 
Mutabadili maneno yote ila ni kwamba mulitaka kuvunja rekodi ya Arsenal ..imefeli iyo bro..

Ligi mutabeba ila kuna mikakati tunaipanga musibebe..

#CFC[emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu watu wanafiki, eti leo ndio wanaweka profile picture ya wachezaji wa watford...
Pumbavu mbona alivyowashwa na man utd juzi kati hamkuweka picha zao wehu nyinyi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa leo sitodeal na wewe nyumbu,kaa utulie mzee...watu tufanye sherehe kwa amani
 

Hahaha, Watford amesababisha hii thread iwe maarufu ghafla.

Mlitukimbia kabisa nyie jamaa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…