DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Una maanisha liva anashuka daraja? nauliza kwakua liva ndio kapigwa mpaka sasa.
Huwezi kumjua sasa hivi, ngoja kwanza wenge la 3-0 liishe huko kichwani kwanza!! ndio utamjua!!
Mkuu upo?Nahisi mimi naangalia mpira tofauti na wenu maana game kuanzia dakika ya 35 imeanza kuwa kali na ya spidi.
Nina uhakika hawa wameshafungwa, 45 tayari.
Uwiiiii inaumaaa
Someone ametoa password yaoHahahaha nilisema mnaanza kupigwa na mtapigwa mfululizo.
Watford amewatoa bikra
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau kututumia zile GIF kwenye jukwaa zote Hadi la Simba na yanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Una maanisha liva anashuka daraja? nauliza kwakua liva ndio kapigwa mpaka sasa.
now I understand why both Klopp & Southgate rate Hendo so highly.
our midfield looks extremely porous and soft without him. it's bitter, but factual.