Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Acha usenge katafute bwana akutibu mtu mzima unaongea ujinga nenda kaliwe ukiwa umevaa jezi ya man u mgongoni

Sent using Jamii Forums mobile app

Dan! Mkuu najua ulikuwa na Hasira lakini Familia ya Wanaliverpool huwa hatutumii kauli kama hizi.

Sisi ni Wafalme wa ustaarabu na ndiyoma tunamaliza msimu wa Ligi bila ya Red Card yoyote ile kwa wachezaji wetu.
 
Liver haijawah pata re

aisee
 
Dan! Mkuu najua ulikuwa na Hasira lakini Familia ya Wanaliverpool huwa hatutumii kauli kama hizi.

Sisi ni Wafalme wa ustaarabu na ndiyoma tunamaliza msimu wa Ligi bila ya Red Card yoyote ile kwa wachezaji wetu.

AB alishakula red wew
 
Bora sikuhizi umepevuka ulikuwa na mawazo ya kishamba sana ya kujidai mjuaji kuliko JK, hatukatai JK sio Mungu kwamba asikosee anaweza kukosea ila kulazimisha anakosea kila siku kwa kumpa namba Hendo pale ulibugi
 
Nimefurahi Sana Man city kushinda hii mechi,japo ni maadui zetu lkn nimependa walivyionesha dunia kuwa EPL ni ligi Bora now na walio juu sio wanabahatisha ila ni wapambanaji...na kilicho Bora zaidi ni Ramos kutolewa Kwa Kadi nyekundu,kwangu Mimi huyu jamaa ndio alileta mzimu wa matatixo Kwa Salah so sitokuja kumpenda kamwe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…