Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Dadeki! Kumbe ndiyomana Timu zote zimetuchukia kupita kiasi pale tunapobeba Kembe 😀😀😀
Yani kushiba mwaka huu basi majibu yetu humu unawezajibiwa kuhama nchi
Klop kwa Nini kampeleka Fabinho acheze Attacking Mid badala ya Holding?Waliokuwa wanamtaka Keita mechi ya ATM nadhani wamemuona
Wasamehe chiefDah! Humu sikuhizi kuna mijadala mitamu sana ya kujadili kuhusu wachezaje.
Naona Leo mada ni KEITA na HENDO
Lakini sikuhizi sipendi kushiriki kwenye mijadala kama haya ya kutofautiana mitazamo ndiyomana sichangii chochote bali huwa ninasoma cimments ya Watu tu coz kuna watu wame ni demoralize kuhusu kudebate kwa kuniattack.
Na mimi nakuwaga napenda sana mtu a-attack mawazo yangu na sipendi aniattack mimi.
Kuna mtu anatukanwa humu kama malafyale lkn mbona yupo anapambana na anachokiamini...Tabu uwa unaanza pale unapotaka wazo au hoja au unachokitaka wewe kuwa cha kila mtu hiyo ndio shida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani kuna contractor huku amepewa kandarasi ya kubomoa daraja! Olachuga upo wapi mpaka daraja linabomolewa?
Kaka tutakukaribisha kwenye partyKaka naona utachinja Ng'ombe 30 mwaka huu. Hongereni
Liverfools. The worst champions to be in the history of Epl and football timu yenu ni mbovu haina mvuto maningwa wa ngekewa.
Football analysts wanaojielewa wanasema msimu huu ligi ya uingereza imekua mbovu katika misimu yote tokea ianzishwe and the funny thing a team so called chickens of the city are going to be champions in the worst seasons of the EPL. Hamuoni aibi hata kushangilia ubingwa msimu huu wakati wanaume zenu Manutd na Chelsea, Arsenal tupo kwenye transitional period. Yaani hata ubingwa wenu haunogi in short hauvutii.
Liverfools eti now mnasema Henderson for balon dor hii ngekewa imewafanya mjione mmeyapatia maisha sana.
#chukueni ubingwa ila mabwana zenu ni Manutd the red devils. Mabingwa wa kihistoria ndo sisi NYIE UBINGWA WENU HAUNA MVUTO NI NGEKEWA TU HII TUMEWAPA MAANA MMESOTA SANA .
GHMU
Mbona unaona shaka? Yaani Atletico atoboe pale Anfield? Kitakuwa kichekesho cha mwaka! Kaka yake alilamba 4-0 pale, hivyo Mimi sina shaka na kusonga mbele!Aisee napata wasiwasi kuwa inawezekana Timu zote za Kiengereza zikaishia hatua hii.
Ngoja tuone City leo atakachokifanya
2020 haijaisha
ni swala la kiufundi, TAAKlop kwa Nini kampeleka Fabinho acheze Attacking Mid badala ya Holding?
Nabby angecheza Attacking Mid na sio Holding.
Baada ya Nabby kutoka akamchezesha Ox Attacking area na Gabby kukaba.