Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Mkuu hii forum ina mambo mengi sana

Kuna watu humu wana ID zaidi ya moja, nyingine anatumia kuji-support mawazo yake

Kuna watu humu ni zaidi ya kuwa nyuma ya keyboard Kwa maana wanafahamina vema kabisa kwenye maisha halisi

Watu hatuwezi kufanana mawazo hata hao unaoona wana-support-iana kuna baadhi ya mawazo hawakubaliani

Makundi huwa yana sababu zake muhimu, na wewe unaweza jichagulia kundi ama ukawa neutral

Life is too short chief, without critics/challenge forum ingekuwa boring place

All in all kuita mawazo ya mwenzio 'upuuzi' not cool
 
Hata kama kafika huko anfield bado haijawa sababu ya kutaka kutengeneza makundi humu. Malafyale ana elemet za ubaguzi na umakundi, hii habari ya sijui halisi ndo nini hapa. Thank God hakupata waungaji mkono wa hilo kundi lake alokua anajiribu kutengeneza la HALISI. Haiwezekani Liverpool kuwe hakuna makosa, yapo. Klopp ni binadamu anakosea na anapokosea washabiki lazima wataongea. Nnachoamini mimi Klopp ni zaidi yetu sisi mashabiki ila kama binadamu inampitikia kukosea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema mwacheni KAPTENI apumzike. Mbona mnampigia kelele hivyo.
Kloop ni kocha wa kiwango cha juu sana. Na anampanga kila akipata nafasi. Hilo linatakiwa likufanye mtu umuheshimu henderson.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Welcome to Liverpool FC show.

Keita akiwemo najua ni show ya ukweli.
 
Tatizo ni hujui mpira mzee, wao wanajua kuriko ww
Chuki yako kwa Henderson itakuzeesha mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liver ikitolewa uefa ndo Klop atawaza kwa ufasaha ili avunje rekodi zote(tukichukulia corona isipoingia kuvuruga mambo)
Lakini wachezaj hawawez kukubali kutokana coz wengi ni balon d'or contender, japo atletico nao wanakaza na hawatak kutoka pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
His Majesty.! Hero Hero Hero dream come true.
Clubless to hero.
Positive stats to his cv

Sent using Jamii Forums mobile app
Just woow in life never give up... What's Adrian deal at Liverpool has shown us is to always be ready and positive when opportunities come in Life, we embrace them with open arms and give our best...

Adrian has done us proud... And with solid lesson here..

Twice honoured with two medals and 3rd,4th, 5th, loading...

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…