Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Oh God! From mocking mpaka sasa kuna praise group kwa Klopp kutoka Thread ya Manure Fanboys.
This shows how 'obsessed' they are
 
Sasa zaidi ya liverpool unadhani le super capitano hendo anaweza pata nafasi kwenye timu gani nyingine?
 
Mkuu usipende makundi nachojua sote n mashabiki Wa lfc sitaki kuamin shabik Wa Liverpool asiitakie timu yake mema


TUWE WAMOJA HAKUNA
MWENYE HATI MILIKI NA
NA HII TIMU HUMU
NDANI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FIFA RANKING 2020
____________________________
TOP 5 GOALKEEPERS (2020)
1.Allison becker (LIV)
2.Marc Andre Ter Stegen (FCB)
3.Ederson (MCI)
4.Manuel Neuer(MUN)
5.Jan Oblak ( ATM)
____________________________
TOP 5 RIGHTBACKS(2018-19)
1.Trent Alexander Arnold(LIV)
2.Joshua Kimmich(MUN)
3.Ricardo Pereira(LEI)
4.Dani Alvez(SAO)
5.Kyle Walker(MCI)
____________________________
TOP 5 CENTREBACKS(2020)
1.Virgil Van Djik(LIV)
2.Kalidou koulibaly(NAP)
3.Mattijius De ligt(JUV)
4.Aymeric Larporte(MCI)
5.Sergio Ramos(RMA)
____________________________
TOP 5 LEFT BACKS (2020)
1.Andy Robertson(LIV)
2.David Alaba(MUN)
3.Jordi Alba(FCB)
4.Alex Sandro(JUV)
5.Zincheko (MCI)
____________________________
TOP 5 DEF. MID. (2020)
1.Frankie De Jong(FCB)
2.Fernandinho(MCI)
3.Sergio Busquets(FCB)
4.Jordan Henderson(LIV)
5.Marco Verrati(PSG)
____________________________
TOP 5 ATT.MID. (2020)
1.Kevin De Bruyne (MCI)
2.Bernardo Silva(MCI)
3.Fabino(LIV)
4.Toni Kroos(RMA)
5.Arthur Melo(FCB)
____________________________
TOP 10 FORWARDS (2020)
1.Lionel Messi(FCB)
2.Sadio Mane(LIV)
3.Robert Lewandowski (MUN)
4.Kylian Mbappe(PSG)
5.Mohamed salah(LIV)
6.Bernado Silva (MCI)
7.Eden hazard(RMA)
8.Raheem Sterling (MCI)
9.Luiz suarez(FCB)
10.Sergio Aguero(MCI)
____________________________
TOP 10 FOOTBALLERS (2020) According to FIFA RANKING.
1.Toni Kroos (REA)
2.Lionel Messi(FCB)
3.Sadio Mane(LIV)
4.Allison Becker(LIV)
5.Mohammed Salah(LIV)
6.Cristiano Ronaldo(JUV)
7.Bernardo Silva(MCI)
8.Eden Hazard(RMA)
9.Raheem Sterling (MCI)
10.Kylian Mbappe(PSG)
____________________________


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Baadhi ya Vitu ambavyo vinatia mashaka kuhusu source ya hizi Ranking kama ni kweli zinatoka FIFA ni:-

1) Ederson ahead of Oblak?
2) Dani Alves???? He's Veteran now.
3) Zincheko?
4) Fabinho attacking Mid? Since when?
5) No Ronaldo in Top 10 foward?
 
Baadhi ya Vitu ambavyo vinatia mashaka kuhusu source ya hizi Ranking kama ni kweli zinatoka FIFA ni:-

1) Ederson ahead of Oblak?
2) Dani Alves???? He's Veteran now.
3) Zincheko?
4) Fabinho attacking Mid? Since when?
5) No Ronaldo in Top 10 foward?

Fabinho amewekwa kwenye attacking mid ili kutoa nafasi ya Hendo kwenye def mid.
 
Fabinho amewekwa kwenye attacking mid ili kutoa nafasi ya Hendo kwenye def mid.

It sounds good but I don't think kuwa FIFA wanaweza kuact in such a foolish way kama English Media.

Nahisi someone from non reliable source ameandika hilo bango na kuclaim kuwa source ni FIFA ambapo Hendo Fanboys wakachukua kichwakichwa.
Coz wao hata aandike Edo kumwembe akishamtaja Hendo kumsifia tu basi hiyo imeshakuwa habari kwao.
 

Itajuwa fake news.

Ila hata FIFA kuna muda wanachakachua vikosi, mfano mwaka jana Ramos ilibidi awekwe mbili ili kumu-accomodate baada ya VVD kushikilia namba 5
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…