Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Give it to either VVD or Alisson.
Henderson should go for the most improved player, or the suprise package.
Joe Gomez
Give it to either VVD or Alisson.
Henderson should go for the most improved player, or the suprise package.


Acha umbwiga wewe unaanzaje kuzungumzia msimu ujao wakati msimu huu haujaisha?Apa kuna Jogihno, kati kuna Zuyech pembeni kidogo kuna Kante Ngolo, nyuma kama kawa ukuta wa chuma ukiongozwa na Rudger, achana na apo mbele maana ni moto wa kuotea mbali ..msimu ujao tunabeba chochote kinaitwa kombe...
Amini kwamba...
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah, rungu la financial fair play limewakumba.Nasikia man city kashapigwa ban uefa for two season?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nasikia man city kashapigwa ban uefa for two season?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli kaka, lakini usije kushangaa wanakata rufaa adhabu inapunguzwa ama kuwa ya fedha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameanza kuchunguzwa mwaka wa pili huu sasaKweli kaka, lakini usije kushangaa wanakata rufaa adhabu inapunguzwa ama kuwa ya fedha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha sion likitokea hil mkuuWameanza kuchunguzwa mwaka wa pili huu sasa
Hii ngoma ni ngumu
Ngoja tuone
Naona Liverpool fans wanataka na KDB avutwe
Liverpool fans have demanded Jurgen Klopp sign Kevin D
de Bruyne following the news of Manchester City's two-year ban from European competition.
![]()
Liverpool fans make Kevin De Bruyne transfer demand after Man City Champions League ban
Manchester City have been banned from the Champions League for two seasons.t.co
#LFC #MCFC Express Sport on Twitter
Baadhi ya mastaa city wataondokaHahaha sion likitokea hil mkuu
Lkn ntafurah sana likitokea
VVD without doubt..
Thanks kaka.. Vals cool man..Happy Valentine Kops.
Rufaa ngumu kufanikiwaWatakata rufaa two seasons ni hasara sana kwa timu , league yenyew ndoivo ni ngumu kuchukua kwa man city tena, hii itawaharibia morale wachezaji kupambana
Duu Pep sioni akibakie pale...
Aje moto utawaka aiseeBaadhi ya mastaa city wataondoka
Kumbuka KDB ni mshabiki kindakindaki wa Liverpool