Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Labda kama Sancho unamlinganisha na Salalah wa Usukumani!
 
Koke; "Yes we know in the past they have overturned deficits, Barcelona comes to mind. But we are not Barcelona and we are used to such games, you can intimidate small boys with stories of ghosts and the dark, we are not small boys. We won't be moved by Anfield, we go to qualify and hopefully after 90 minutes it will be that way."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The hardest test waliyowahi kupambana nayo hawa jamaa ni ile ya Bayern pale Allianz Arena wakafungwa 2-1.

Mkiweka wale soft boys wenu Keita na Ox itakuwa sherehe kwa hawa jamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaa kimya sikua nikibishana na mtu.

Utani m baya kwani nimekushika matako

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na vibaraka wako hamjui lolote kuhusu soka
Vipi Klopp kuchukua EPL hadi Mungu-Mtu wenu wa soka Pep aondoke England
AIBU kubwa sana mnaipata wewe na vibaraka wako
Mnajikausha kama ni watu wema kwa Klopp
Vibaraka nawaona wanashangilia mafanikio wamesahau KLOPP OUT
 
Liverpool HALISI tuanze sasa maandalizi ya kushangilia EPL yetu
Tulibezwa sana hadi kuambiwa Klopp kuchukua EPL mbele ya Pep labda akaliibe kombe
Tulibezwa kuwa Man City ana kikosi kipana sana,anatoka mtu anaingia mtu
Tulibezwa sana kama Captain Hendo hawezi cheza team yyt EPL
Naomba mni add whatsap kama kuna group la wana Liverpool halisi,sio Liverpool feki walio kuwa wanatukana team wkt Klopp anaijenga
 
Mkuu umechanganyikiwa kwa kombe la epl nini? inaonesha ni kwa namna gani tokea uzaliwe ujawahi kushudia Liverpool wanashinda kombe la epl. Hongera Klopp umeokoa wengine kuandika historia kwa watu wengine.
Liverpool community watakukumbuka sana..japo inaonesha kua wachezaji wa Liverpool wamefanya kazi kubwa sana..hongera sana kwao.
 
Mwambie huyo koke wako hata liverpool wanaenda Anfield kupita
 
Hamuwezi kuzaliwa siku moja wote.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…