Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pamoja sana kop [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi nimeshindwa ku copy ile link ningeweka hapa kwa jukwaa watu waione hapa na ku join
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua nawaona ila nilikua siwazingatii ila baada ya kutajwa tajwa humu nikawazingatia hizi mechi za jana na juzi.

Mchezaji akiwa na kipaji hata mpira ukimkataa siku hiyo utajua tu kama huyu kunakitu anakusudia ila kinagoma.

Kwa mimi nilivyo muona ni mtu anaejua mpira unatakaje na kuufanyia kazi ila kipaji hana.

Kwa pale Liver hamuweki benchi yoyote labda kwenye sub ata anaza yeye kabla ya Origi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aani watu wana mu under rate salah now

Like serious [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaa mara nyingi ukipata cha kushiba unatamani na cha kubakisha.

Kumshusha ni kusema hafai lakini kumfananisha na aliemzidi si kumshusha labda sijaeleweka kusudio langu.

Bundasiliga Londosk kina werner wapo juu kwa sasa kuna anaekuja kwa kasi akiwapita tutasema Haland anajua zaidi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubingwa wa kihistoria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ukiwaangalia after game ya Atletico unawaona kabisa hata wao hawakuridhika kabisa, ukiachana na mpira kuwa ni game of mistakes bado sijaona kama Atletico ni tishio

Ngoja tuone hii game ya ligi jumatatu hali za wachezaji wetu zitakuaje
Kabisa Mkuu kukosa single shot on target sio jambo rahisi lazima wajiulize maswali...

Na hapo ni pazuri mno maana wataingia uwanjani kwa kazi moja tu ushindi..

YNWA
 
Kinachotubeba Liverpool ni mfumo sio wachezaji ki vile hivyo Halland naona Kwa mfumo wetu angelost kabisaaa...

Sancho pia anatua June tusubiri aje kwenye mfumo wetu upo tofauti na Dortmond tuone ata fit vipi...


YNWA
 
Cylinder zote watazing'oa pale Anfield

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Basi nakushauri Mfuatilie Timo Werner angalau game 5 mfululizo uone jamaa alivyo very talented.

Yani complete striker ndani ya Bundes Liga nzima anazidiwa only na King of the Kings Sir Lewando.

Yeye kukupa goli 30+ per season ni kitu cha kawaida tu hasa kwa Timu kama Liverpool.

Hata hivyo mimi sipendi kuzungumzia habari za kumueka au kitomueka Mtu Bench coz naamini hata Odoi akiamua kujituma with commitment anaweza kumueka Bench Mane au Aguero.

Mkuu Performance ni journey not a destination! So, kauli za kuwa nani akija Liverpool hawezi kumueka Bench Fulani hazina nafasi katika mpira.

Wakati 2015/16 tunalia na Klopp kuhusu Lovren hapa mpaka Lovren akafikia kujiita "I'm a best CB in the World" nani aliyefikiri Katoto kadogo kamma Gomez katamueka Bench Lovren?

So, Mpira ni safari Kijana! Huyo Timo Werner anaweza kuja Liverpool akashine tukamuona kama ni New version ya Suarez au akaflop tukamuona kama ni New version ya Voronin.

Kwahiyo yote yanaweza kutokea Kuingia FXI au Kuwarm Bench ni 50/50.

Don't say Never bro.
Huyo Firmino anaweza kwenda nje ya Liverpool akaishia kucheza Carabao au Copa Del Ray! Au umemsahau Coutinho?
Ivi hujui kuwa Mane, Salah na Coutinho hapana hata mmoja anayefikia hata nusu ya uwezo wa Coutinho wakati anaondoka Liverpool?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…